VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

Msimamo huo haukuanza leo. Ni msimamo wa chama ... kumbukeni zile sherehe za siku ya uhuru zilofanyika Mwanza na kuhudhuriwa na uongozi wa CHADEMA. Msimamo wa ulikua ni huo huo wa MARIDHIANO NA UMOJA wa kitaifa. Hili sio jipya
Si kuandamana tena baada ya maridhiano mkuu kupuuza.
 
Msimamo huo haukuanza leo. Ni msimamo wa chama ... kumbukeni zile sherehe za siku ya uhuru zilofanyika Mwanza na kuhudhuriwa na uongozi wa CHADEMA. Msimamo wa ulikua ni huo huo wa MARIDHIANO NA UMOJA wa kitaifa. Hili sio jipya
Hayo maridhiano ndo yanafanyikaje?
 
Kabla ya uchaguzi mlikuwa mnasema tutakimbia hapa jukwaani, uchaguzi umeisha tuko tumejaa tele na hatuna hofu yoyote. Uchaguzi tumeuona, na ushindi wa umwagaji damu na wizi wa kura tumeuona, na hakuna yoyote kashtuka maana tumezidi kuamini kuwa ccm haina tena uwezo wa kushindana kwa njia ya kura. Sasa ni kipi kitatufanya tubadili majina, wakati ccm haina uwezo wa kutushinda kwa kura?
 
Heri yao wapatanishi, ni kama ameelewa Watanzania walivyo kwasasa tunahitaji busara ya hali ya juu ili kuweza kufanya Watanzania tuishi kwa pamoja na umoja.

Rais wetu ni mpambanaji tunalifurahia hilo ila kama wapinzani wanaomba room ya maridhiano basi kama mzazi awasikilize hii itamjengea heshima zaidi na zaidi.

Zaburi 133 inaeleza yote.
 
It takes two to tangle. Nadhani Lissu awashauri pia CHADEMA warudi nyuma na kukubali kupeleka wale akina mama Bungeni. Ni tactical mistake kususia Bunge na kukaa nje kwa miaka mitano.

Mbali na faida za kiuchumi, ile ndio platform sahihi ya kusema, kukemea maovu na kutafuta mabadiliko kuliko JF na Twitter.
 
Ahaaa, sasa hivi ameanza kuwa wanasiasa ameacha kuwa nwanaharakati? Atabadilika sana na bado, chezea mambo ya faragha

Id ya septemba 2020, hizi zilikuwa rasmi kwa uchaguzi huu wa kishenzi. Naona mko kwa kazi na maagizo maalumu, mkiamini mtabadilisha watu mitazamo kwa upotoshaji wa propaganda mfu.
 
Heri yao wapatanishi, ni kama ameelewa Watanzania walivyo kwasasa tunahitaji busara ya hali ya juu ili kuweza kufanya Watanzania tuishi kwa pamoja na umoja.

Rais wetu ni mpambanaji tunalifurahia hilo ila kama wapinzani wanaomba room ya maridhiano basi kama mzazi awasikilize hii itamjengea heshima zaidi na zaidi.

Zaburi 133 inaeleza yote.

Uelewane na mmwaga na mwizi wa kura?
 
It takes two to tangle. Nadhani Lissu awashauri pia CHADEMA warudi nyuma na kukubali kupeleka wale akina mama Bungeni. Ni tactical mistake kususia Bunge na kukaa nje kwa miaka mitano.

Mbali na faida za kiuchumi, ile ndio platform sahihi ya kusema, kukemea maovu na kutafuta mabadiliko kuliko JF na Twitter.

Hawaendi bungeni fullstop.
 
Hayo ni amwazo yake, hata huko nyuma alisema tutapata taabu sana lakini karudi anakuta tunadunda tu.
Atulie tena miaka mitano akirudi atakuta tupo nusu ulaya.
 
Akakimbia kuokoa maisha yake?hapo ndipo ninapo ona Kuna baadhi yetu sisi hovyo Sana,mtu analianzisha likinuka anakimbia ughaibuni na kuwaacha walalahoi wakisota magereza,ningelimuona wa maana angepambana humuhumu mpaka mwisho

Unaweza kusukuma gari ukiwa ndani?
 
Hayo ni amwazo yake, hata huko nyuma alisema tutapata taabu sana lakini karudi anakuta tunadunda tu.
Atulie tena miaka mitano akirudi atakuta tupo nusu ulaya.

Hakuna jipya kwenye hii miaka mitano. Magufuli ana miradi miwili ya 10t+, uwezo wa kupata hizo hela ili akamilishe miradi hiyo ni ngumu. Hivyo hayo mengine atarukaruka tu huku maisha ya wananchi yakizidi kuwa magumu. Muda utasema hili.
 
Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu......siyo jambo baya kufanya maridhiano kwa (maslahi ya mama Tanzania), kwenye mabano weka sauti ya mbatia
 
Kama Lisu anaomba maridhiano wewe ni nani? Ni muhimu tukaacha viburi na kuwa wanyenyekevu.

Mathew 10:16

Akina Mbowe walienda kuomba maridhiano na tuliwapa kubwa yao, ndio itakuwa Lisu kuomba maridhiano leo? Hakuna cha maridhiano uchwara tunataka sheria zifuatwe na sio maridhiano uchwara.
 
Back
Top Bottom