Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,117
- 1,391
Achana naeMfamasia laki 9unaota wew

Achana naeMfamasia laki 9unaota wew

Ni 1.2 ambayo ni robo ya salary scale ya CPA T wa EWURA.Achana nae![]()
siku izi naona intern taasisi za serikali zinachukua kupitia TAESA ( tanzania employment service agency)Hivi mtu akiomba. Intern / volunteering job taasisi ya serikali ya EWURA amemaliza degree ya. Uhasibu na fedha (BAF) GPA ya 3.5 je anaweza. Pata nafasi?
😅😅😅 Ngoja tuoneHello wakuu...
Naomba shuhuda ambae ashawahi volunteer hospitali ya serikali af akawa reccomended na akaajiliwa![]()
Kwenye hizo taasisi cheti chake hakitumiki fungulia pharmacy wakati huyu wa tamisemi anaweza fungua phamacyHua mnajiskiaje kuongea vitu vya kufikirika. Mshahara wa mfamasia TAMISEMI ma Wizarani ni 1,215,000/=.
Kwenye mashirika unatofautiana kulingana na position na shirika lenyewe (MSD, NHIF, TMDA etc).
Unasema?Kwenye hizo taasisi cheti chake hakitumiki fungulia pharmacy wakati huyu wa tamisemi anaweza fungua phamacy
Ila aya mambo Kwa ground vitu ni very trick
TGHS E ana salary scale ya ngapi
Sasa wewe ndo mkaguzi wa izo pharmacy ukiweka cheti chakoUnasema?
Kwamba ukiwa mwajiriwa wa TMDA unazuiliwa kufungua Pharmacy kwa kutumia cheti chako?
Ze Heby
Dah life hili vibarua bwaw la Nyerere wanakula laki 8 mpak 9 saw na engineer ama Kweli Elimu ni ujinga
Sure Yani sikutanii vibarua wanakula parefu. Fundi bomba. Fundi mbao .fundi chuma wanakula Milion 1 au wengn 950kAcha basii muzee
Sure Yani sikutanii vibarua wanakula parefu. Fundi bomba. Fundi mbao .fundi chuma wanakula Milion 1 au wengn 950kAcha basii muzee
Siwakubali hawa watu mpka wanipe nafas unless wanakusubrisha sanasiku izi naona intern taasisi za serikali zinachukua kupitia TAESA ( tanzania employment service agency)
Hakuna ENGINEER analipwa 800k.Dah life hili vibarua bwaw la Nyerere wanakula laki 8 mpak 9 saw na engineer ama Kweli Elimu ni ujinga
Hakuna ENGINEER analipwa 800k.
Kuna payroll flan nlikua nafanyia kazi juzijuzi. Engineer anavuta 5.1M gross .
Sasa wewe acha Shule, nenda ukawe kibaruA kwenye hilo bwawa
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hakuna ENGINEER analipwa 800k.
Kuna payroll flan nlikua nafanyia kazi juzijuzi. Engineer anavuta 5.1M gross .
Sasa wewe acha Shule, nenda ukawe kibaruA kwenye hilo bwawa
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app