axel fowly
Senior Member
- Aug 14, 2012
- 114
- 23
Nyie sumbukeni na mitando ya kitapeli ya kibongo hapa mwenzenu nipo karibu na kampuni fulani nakula wifi bure masaa ishirini na nne ma it wapale wame lala...teh teh teh full kushusha madude.
Guys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea.
vodacom packages
Hawa jamaa viwango vyao vipya hawana mpinzani i think wapo best navyo ni kama ifuatavyo.
bei (tsh) bundle mda 250 25mb siku 450 50mb siku 700 100mb siku 2,500 150mb wiki 7,500 500mb wiki 10,000 unlimited wiki 8,000 500mb mwezi 15,000 1gb mwezi 20,000 5gb mwezi 30,000 unlimited mwezi ***** ***** *****
source: bonyeza *149*01# kuona ukiwa na line ya voda
tigo packages
Hawa wanafatia sema wanalimit speed hio weakness yao. Jinsi bundle inavokua kubwa na speed inaongezeka. So bundle ya bei ghali utapata speed kubwa. Bundle zao zipo kama hivi
bei (tsh) bundle mda 450 20mb siku 2500 150mb siku 4500 250mb siku 2800 150mb wiki 10,000 750mb wiki 25,000 2gb wiki 8500 600mb mwezi 35,000 3gb mwezi 55,000 5gb mwezi 99,000 10gb mwezi
Source: *148*01# kwa line yako ya tigo
zantel packages
Hawa nimeona bundle nzuri replacement ya ile ya airtel 2500 ambayo ni bronze sh 4000 unapata mb 600 kwa mwezi special kwa watu wanaopenda tumia simu nazo bundle zao zipo hv
bei (tsh) bundle mda 1000 50mb siku 3000 300mb siku 10,000 unlimited siku 3 7000 1gb wiki 4000 600mb mwezi 20,000 5gb mwezi 40,000 8gb mwezi 90,000 14gb zaid ya mwezi 140,000 gb25 zaid ya mwezi
Source Find your Rhythm
airtel packages
walijizolea umaarufu kwa mb400 kwa 2500 ila bundle zao mpya ni ghali wajirekebishe zipo kwa muda na kwa data
-kwa muda
muda bei(tsh) saa 200 siku 500 wiki 10,000 mwezi 3000
-kwa data
bei (tsh) bundle mda 1500 25mb nil 2500 150mb nil 10,000 250mb nil 12,000 500mb nil 15,000 1gb nil 25,000 2gb nil 30,000 3gb nil 45,000 5gb nil 70,000 8gb nil 140,000 15gb nil 200,000 20gb nil
Bonyeza *154*44# kwa airtel
kwa blackberry service click link za chini
[post=4485704]zantel black berry service [/post]
Nyie sumbukeni na mitando ya kitapeli ya kibongo hapa mwenzenu nipo karibu na kampuni fulani nakula wifi bure masaa ishirini na nne ma it wapale wame lala...teh teh teh full kushusha madude.
Unlimited ya voda ni hadi tone la mwisho kama ya zantel au ukitumia kiwango flani mfano mb 700 speed inapungua?
Voda ni wezi wanasema unlimited bt uongo wanakupa 2gb zikiisha spidi inashuka kufungua yahoo dk 15 kusign in dk 20 kufungua email dk 20 kuupload picha inachukua masaa hadi asubuhi ss hii nini si ni ushetani zantel mpango mzima kitu cha ukweli unlimited siku tatu unadownload hata 50gb!
Unlimited call, sms na internet kuanzia saa 5 usiku hadi sa 1 asbuhi ila sorry hio ni offer ni ya ramadhan na eid voda wamesema yaisha jana trh 22.
Hio 8000 ni bundle ya jamaa personal kwa matumizi ya mchana
Guys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea.
vodacom packages
Hawa jamaa viwango vyao vipya hawana mpinzani i think wapo best navyo ni kama ifuatavyo.
bei (tsh) bundle mda 250 25mb siku 450 50mb siku 700 100mb siku 2,500 150mb wiki 7,500 500mb wiki 10,000 unlimited wiki 8,000 500mb mwezi 15,000 1gb mwezi 20,000 5gb mwezi 30,000 unlimited mwezi ***** ***** *****
source: bonyeza *149*01# kuona ukiwa na line ya voda
tigo packages
Hawa wanafatia sema wanalimit speed hio weakness yao. Jinsi bundle inavokua kubwa na speed inaongezeka. So bundle ya bei ghali utapata speed kubwa. Bundle zao zipo kama hivi
bei (tsh) bundle mda 450 20mb siku 2500 150mb siku 4500 250mb siku 2800 150mb wiki 10,000 750mb wiki 25,000 2gb wiki 8500 600mb mwezi 35,000 3gb mwezi 55,000 5gb mwezi 99,000 10gb mwezi
Source: *148*01# kwa line yako ya tigo
zantel packages
Hawa nimeona bundle nzuri replacement ya ile ya airtel 2500 ambayo ni bronze sh 4000 unapata mb 600 kwa mwezi special kwa watu wanaopenda tumia simu nazo bundle zao zipo hv
bei (tsh) bundle mda 1000 50mb siku 3000 300mb siku 10,000 unlimited siku 3 7000 1gb wiki 4000 600mb mwezi 20,000 5gb mwezi 40,000 8gb mwezi 90,000 14gb zaid ya mwezi 140,000 gb25 zaid ya mwezi
Source Find your Rhythm
airtel packages
walijizolea umaarufu kwa mb400 kwa 2500 ila bundle zao mpya ni ghali wajirekebishe zipo kwa muda na kwa data
-kwa muda
muda bei(tsh) saa 200 siku 500 wiki 10,000 mwezi 3000
-kwa data
bei (tsh) bundle mda 1500 25mb nil 2500 150mb nil 10,000 250mb nil 12,000 500mb nil 15,000 1gb nil 25,000 2gb nil 30,000 3gb nil 45,000 5gb nil 70,000 8gb nil 140,000 15gb nil 200,000 20gb nil
Bonyeza *154*44# kwa airtel
kwa blackberry service click link za chini
[post=4485704]zantel black berry service [/post]
mkuu umesahau tigo mega box
ni ya ukweli na inafaa kwa mtanzania. Nimejaribu ya week@2800 napata 2g za kuperuz na 150mb za kudownload kila siku na huu sio uongo speed 4080kbps full time.
Week
2800 -2g kuperuz 150mb za download kila siku
wiki plus 10000 40gb
nisionge sana
*148*01# chagua no 3 tigo mega box
Upload screen shot, maana hapo ni kama unapingana na watanzania speed ipo hapo kwenye 150mb tu hizo gb's wanazokupa upuz tu. Then megabox sio bundle ni offer thats why sjaeka hapa.
unless mtu atafte data za offer za mitandao yote atengeneze thread, vitu kama megabox, epiq nation, boomclub, facebook ya airtel na voda ya usiku
Unauhakika na unachosema? naweza download mpaka 5GB kwa siku na hiyo megabox? tafadhari nijurishe mapemamkuu mbona sijakupata vizuri, hebu nipe tofauti kati ya bundle na mega box, je matumizi yake yapo tofauti?
matumizi yangu most ni kwenye simu na pia huwa na waazima watu wanatumia kwenye pc, matumizi yao ya kila siku speed ile ile 4080 kbps. Una download chochote unachotaka.
Unauhakika na unachosema? naweza download mpaka 5GB kwa siku na hiyo megabox? tafadhari nijurishe mapema
Unauhakika na unachosema? naweza download mpaka 5GB kwa siku na hiyo megabox? tafadhari nijurishe mapema
mm nimejaribu ya week ambayo ni 150mb kwa siku. Sasa hapo ya 10000 @week 40gb jaribu mwenye, mi next ninayotakakujaribu ni 50gb @8500 kwa mwezi[/QUOTE]
Kwa taarifa yako hizo gb kichele walizoweka ni za kusurf tu na siyo download ndiyo maana wakakuambiya za kudownload ni 150mb tu zikiisha hizo hhutoweza kudownload tena ila utaweza kusurf mpaka basi!!!!
Kama wanakupa 150mb kwa siku za kudownload bado ni ndogo, labda nikusimulie kidogo, kama mwezi mmoja uliopita nilikuwa napata internet ya airtel kwa sh 200 kwa siku na walikuwa wanatoa unlimited speed and downloads 24 hrs kwa sh 200 tu, yaani nikijiunga na hiyo 200 nilikuwa na-surf na kudownload nitakavyo bila speed kushuka kwa masaa 24!, umeshaona sehemu nyingine kitu kama hiki?mm nimejaribu ya week ambayo ni 150mb kwa siku. Sasa hapo ya 10000 @week 40gb jaribu mwenye, mi next ninayotakakujaribu ni 50gb @8500 kwa mwezi
Nashukuru mkuu kwa kutuelewesha vizuri hapa, sasa anataka ku-surf tu? tunataka kushusha mavitu bwanamm nimejaribu ya week ambayo ni 150mb kwa siku. Sasa hapo ya 10000 @week 40gb jaribu mwenye, mi next ninayotakakujaribu ni50gb @8500 kwa mwezi[/QUOTE]
Kwa taarifa yako hizo gb kichele walizoweka ni za kusurf tu na siyo download ndiyo maana wakakuambiya za kudownload ni 150mb tu zikiisha hizo hhutoweza kudownload tena ila utaweza kusurf mpaka basi!!!!
Nashukuru mkuu kwa kutuelewesha vizuri hapa, sasa nani anataka ku-surf tu? tunataka kushusha mavitu bwanamm nimejaribu ya week ambayo ni 150mb kwa siku. Sasa hapo ya 10000 @week 40gb jaribu mwenye, mi next ninayotakakujaribu ni50gb @8500 kwa mwezi[/QUOTE]
Kwa taarifa yako hizo gb kichele walizoweka ni za kusurf tu na siyo download ndiyo maana wakakuambiya za kudownload ni 150mb tu zikiisha hizo hhutoweza kudownload tena ila utaweza kusurf mpaka basi!!!!
Kama wanakupa 150mb kwa siku za kudownload bado ni ndogo, labda nikusimulie kidogo, kama mwezi mmoja uliopita nilikuwa napata internet ya airtel kwa sh 200 kwa siku na walikuwa wanatoa unlimited speed and downloads 24 hrs kwa sh 200 tu, yaani nikijiunga na hiyo 200 nilikuwa na-surf na kudownload nitakavyo bila speed kushuka kwa masaa 24!, umeshaona sehemu nyingine kitu kama hiki?