Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
- Thread starter
- #81
mkuu mbona sijakupata vizuri, hebu nipe tofauti kati ya bundle na mega box, je matumizi yake yapo tofauti?
matumizi yangu most ni kwenye simu na pia huwa na waazima watu wanatumia kwenye pc, matumizi yao ya kila siku speed ile ile 4080 kbps. Una download chochote unachotaka.
Unajua unapoongea hivo kuna watu wanaona speed 4080kbps (speed ya idm tunategemea 500KBps) na watu watanunua hiyo bundle ili kuwathibitishia hao watu capture screen shot ya dashboard yako ya tigo ili tuone kama ni kweli unapata speed hiyo.
Then offer ni vitu mtandao wanakupa wewe ila si katika mkataba na hata wakikukata huna pa kwenda kulalamika, mfano wa offer ndo hizi internet za usiku, sjui tigo extreme unapata message dakika na internet
Bundle halisi hizi wakikupunja una haki ya kuwashtaki na mara nyingi zinakua wazi. Mfano ukienda website ya tigo kwenye internet packages utakuta kitu hiki
Angalia picha ya kwanza mb 20 kwa sh 450 ndo bundle halisi ila mb 20 na kubrowse internet (tigo megabox) sjui facebook bure na madoido mengi hio ni offer na ndo mana hawajaiandika hapo juu na wakiikata huna haki ya kuwalaumu