viwango vya internet vipya mitandao yote tanzania

Natesa na airtel 3g. Nashusha vitu speed sio ya kawaida. Baada ya kujaribu zantel, then tigo, kisha voda, sasa nimefika kwa niliotaka

Kuna jamaa yangu alidai kua ni unlimited na hua anatumia kudownload movies ila ndo anadai speed ya kinyongo, so it means kua after certain MB wana punguza speed, Binafsi sijawahi tumia

achaa nitafute modem yao nijaribu leo
 
To improve speed of your modern go to TOOLS, NETWORK SETTINGS, select 3G ONLY and not AUTOMATIC
 
Unamaliza mb zako 50 kwa siku unlimited speed fresh tu then speed inadrop hadi 4-10 kBps hapo ndo utapochoka.

Asee leo nmejionea mwenyewe. Nimeenda nunua modem mpya yao ili niunge 2 na hii ki2 cause it was just 2 good. Unfortunately it was 2 good 2 b true. As you said nime2mia 50mbs vizuri after dat balaa speed at 1 point ikafika hadi 0.17Kb/s, imagine that!! Nadownload file la mb14 inanambia 2days remaining imebidi nicheke! Vp hiyo ya saa, naweza shusha gig kweli?
 
Ikifika 24 hrz watakata probability ya kutofikisha gig ni sure
 
Mkuu Chief Mkwawa, asante kwa taarifa hii, japo umeisahau TTCL, wao ndio wana the highest speed kwa the cheapest price ukiwa Dar ni poa sana. Bundle yao ni 8,000 per week, unapewa 2 GB per week, speed yao ni 3.1 Mbps hivyo kwa mwezi unavuna 8 GB kwa TZS 32,000/= only!. Japo ukilipia 30,000 per month, Vodacom wanakupa unlimited, speed ya vodacom ni slow, hivyo takes a lot of time ku upload au download file kubwa.

Kwa mtu mwenye familia kubwa, kama mimi, six kids na 5 of them wana psp, ipod na atoms, nawashauri muwanunulie ile moderm ya airtel, ile rate yao ya 200 per hour,unapewa 20MB ila inakaa 24 hours kama wanashinda fb na ku surf only!.
 
Mkuu huyo wa 200 per hour kwa siku ni marehemu

Ntajitahidi ku update ttcl
 
Asee leo nmejionea mwenyewe. Nimeenda nunua modem mpya yao ili niunge 2 na hii ki2 cause it was just 2 good. Unfortunately it was 2 good 2 b true. As you said nime2mia 50mbs vizuri after dat balaa speed at 1 point ikafika hadi 0.17Kb/s, imagine that!! Nadownload file la mb14 inanambia 2days remaining imebidi nicheke! Vp hiyo ya saa, naweza shusha gig kweli?

Uuuuwiiiiiii!!! kumbe ndo uozo hivi?? aisee bola kitu cha Zantel cha unlimited 3days
 
Mi nimestick na ile voda ya usiku tu hadi unakosa cha kudownload sometime.

Na mpaka sasa sjajua mwisho wa speed ya voda hivi tz hamna modem za 14.4 mbps? Maana hizi za 7.2 zinajaa
 
Mkuu huyo wa 200 per hour kwa siku ni marehemu

Ntajitahidi ku update ttcl

Weka moderm ya airtel kwenye pc, tuma sms ya neno SAA kwenda 15444, itakuja sms ya kwanza kukumbia, hivi

"Mpendwa Mteja. Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya saa moja ya MB 20. Kujua mwisho wa huduma hii, piga *154*44# na fuata maelekezo. Asante"

Within seconds, itakuja sms ya pili kukuambia hivi
" Mpendwa Mteja.Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya siku moja ya MB 20..Kujua mwisho wa huduma hii,piga *154*44# na fuata maelekezo.Asante "

hapo uta surf, na ku surf na kusurf, uta download na ku upload unavyotaka hata 1 gb mpaka after 24 hrs, unarudia tena daily, hivyo cost ya unlimited ni 6,000 tuu kwa mwezi!.
 
Mega box tigo ilimradi uwe na 3g devices 8500@month unapata 50gb za kusafu 600mb za kudownload kila siku. Kama unatumia 2g na edge na samsung za kawaida ni msiba usijiunge kabisa
 
Weka moderm ya airtel kwenye pc, tuma sms ya neno SAA kwenda 15444, itakuja sms ya kwanza kukumbia, hivi

"Mpendwa Mteja. Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya saa moja ya MB 20. Kujua mwisho wa huduma hii, piga *154*44# na fuata maelekezo. Asante"

Within seconds, itakuja sms ya pili kukuambia hivi
" Mpendwa Mteja.Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya siku moja ya MB 20..Kujua mwisho wa huduma hii,piga *154*44# na fuata maelekezo.Asante "

hapo uta surf, na ku surf na kusurf, uta download na ku upload unavyotaka hata 1 gb mpaka after 24 hrs, unarudia tena daily, hivyo cost ya unlimited ni 6,000 tuu kwa mwezi!.

Mara ya mwisho umetest lini
 
@Chief mkwawa Airtel ni kiboko hasa huu mji wetu huku bara, na huduma hiyo mpaka leo ipo na inafanya kazi kwa modem za airtel za zamani tena tunalipia bado 2,500/ kwa 400Mb na tumatumia PC zaidi ya siku 7 screen shot naogopa kwa sababu ya kuchakachua hawa jamaa wakiiona zain kwa tigo itakuwa mwisho
speed ya Airtel inatosha kudownload chochote, ila km kawaida nikiichomoa na kuweka line ya tigo speed ni kinyonga hasa mpaka dk15, nikibadili na kuweka Voda ndio inagoma kabisa mpaka nitumie simu ya B/B as a modem
kwa hiyo Pasco kanifundisha kitu kipya na kipo naiamini airtel sitaiacha kwenye Internet
 
Yah ni kweli kila eneo na mkali wake wa speed. mi nilikua nauliza ile ya 200 inapiga kaz? Maaana ya 2500 najua ipo watu wengi wanatumia
 
Weka moderm ya airtel kwenye pc, tuma sms ya neno SAA kwenda 15444, itakuja sms ya kwanza kukumbia, hivi

"Mpendwa Mteja. Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya saa moja ya MB 20. Kujua mwisho wa huduma hii, piga *154*44# na fuata maelekezo. Asante"

Within seconds, itakuja sms ya pili kukuambia hivi
" Mpendwa Mteja.Umefanikiwa kupata huduma ya intanet ya siku moja ya MB 20..Kujua mwisho wa huduma hii,piga *154*44# na fuata maelekezo.Asante "

hapo uta surf, na ku surf na kusurf, uta download na ku upload unavyotaka hata 1 gb mpaka after 24 hrs, unarudia tena daily, hivyo cost ya unlimited ni 6,000 tuu kwa mwezi!.
Mkuu tafadhari bado ipo hiyo ya 200 24hrs unlimited? mara ya mwisho lini umetumia?
 
Back
Top Bottom