viwango vya internet vipya mitandao yote tanzania

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,708
39,789
Guys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea.

vodacom packages
Hawa jamaa viwango vyao vipya hawana mpinzani i think wapo best navyo ni kama ifuatavyo.

bei (tsh)bundlemda
25025mbsiku
45050mbsiku
700100mbsiku
2,500150mbwiki
7,500500mbwiki
10,000unlimitedwiki
8,000500mbmwezi
15,0001gbmwezi
20,0005gbmwezi
30,000unlimitedmwezi
***************

source: bonyeza *149*01# kuona ukiwa na line ya voda

tigo packages
Hawa wanafatia sema wanalimit speed hio weakness yao. Jinsi bundle inavokua kubwa na speed inaongezeka. So bundle ya bei ghali utapata speed kubwa. Bundle zao zipo kama hivi

bei (tsh)bundlemda
45020mbsiku
2500150mbsiku
4500250mbsiku
2800150mbwiki
10,000750mbwiki
25,0002gbwiki
8500600mbmwezi
35,0003gbmwezi
55,0005gbmwezi
99,00010gbmwezi

Source: *148*01# kwa line yako ya tigo

zantel packages
Hawa nimeona bundle nzuri replacement ya ile ya airtel 2500 ambayo ni bronze sh 4000 unapata mb 600 kwa mwezi special kwa watu wanaopenda tumia simu nazo bundle zao zipo hv

bei (tsh)bundlemda
100050mbsiku
3000300mbsiku
10,000unlimitedsiku 3
70001gbwiki
4000600mbmwezi
20,0005gbmwezi
40,0008gbmwezi
90,00014gbzaid ya mwezi
140,000gb25zaid ya mwezi


Source Find your Rhythm

airtel packages
walijizolea umaarufu kwa mb400 kwa 2500 ila bundle zao mpya ni ghali wajirekebishe zipo kwa muda na kwa data

-kwa muda

mudabei(tsh)
saa200
siku500
wiki10,000
mwezi3000

-kwa data

bei (tsh)bundlemda
150025mbnil
2500150mbnil
10,000250mbnil
12,000500mbnil
15,0001gbnil
25,0002gbnil
30,0003gbnil
45,0005gbnil
70,0008gbnil
140,00015gbnil
200,00020gbnil

Bonyeza *154*44# kwa airtel

kwa blackberry service click link za chini

[post=4485704]zantel black berry service [/post]
 
halafu hivi hawa jamaa wapo serious kweli?

Zantel kwa elf 20 unapata 5gb na elf 40 unapata 8gb ina maana nkinunua bundle 2 za elf 20 napata 10 gb hii akili kweli? Why wasieke bundle ya elf 40 10gb au zaidi

Airtel nao wakaeka same mistake 70,000 8gb na 140,000 ni 15 gb ukiidouble ya elf 70,000 unapata 16gb ambayo ni zaidi
 
Unlimited ya voda ni hadi tone la mwisho kama ya zantel au ukitumia kiwango flani mfano mb 700 speed inapungua?
 
naona hiyo ya airtel ya 400mb kwa mwezi haikubali kwa line mpya za airtel,sijajua tatizo ni nini...

Kama upo eneo la zantel wana 3g hio ya 4000 kwa mb600 ndo mbadala ila kama upo mikoani huko maumivu itabidi ikate elf 8
 
Sasa hiyo ni ofa wakati umenunua? Au cjakuelewa.

kiuhalisia hio bundle ni mb20 kwa sh 450 zamani tulikua tukiita light day. Sasa hivi kuna offer ukinunua wanakupa mb20 na kubrowse bure siku nzima.

Katika mitandao ya simu kuna offer na huduma yenyewe. Huduma ni ile ambayo kila siku ipo na offer unapewaa kwa muda then kuna siku wataiondoa. So siku wakija ondoa itabaki 20mb peke ake
 
Back
Top Bottom