viwango vya internet vipya mitandao yote tanzania

viwango vya internet vipya mitandao yote tanzania

KiongoZ mbona hivi viwango vya voda sioni tofauti yoyote??naona ni vile vile tu tangu zamani..

Mtu anaposema viwango vipya sio lazma viwe vimetoka leo au jana ila ni viwango vya mara ya mwisho ambavyo badala yake hamna vyengine vipya
 
Kwa sasa tunaibiwa. Nafikiri lazima tuone namna ya kufanya kupitia jukwaa hili, kweli ni tofauti kabisa na miezi 2 au mmoja uliopita. Hebu tujifungie vyumbani na tuje na jibu la pamoja mi sikubali kuibiwa kijinga hivi.

Biznezikally wizi wa internet unapandisha bei ya bundles. Mfano voda wameeka price zao hivo then ikaleak trick ya free internet watu hawatanunua bundles na bandwitch za voda zitaenda. Wao moja kwa moja wataona bandwitch nyingi na mapato machache solution tuongeze hela. Then wanapandisha bei (ukumbuke mtandao wakiona bandwitch nyingi inaenda wataona wana wateja wengi).
 
Hiyo code inaleta nini hasa? Nimejaribu kuibonyezabadala yake imenipongeza na kuniambia nianze unlimited calls na internet saa 5 usiku. Sasa hiyo 8,000/= ndo nini?

Unlimited call, sms na internet kuanzia saa 5 usiku hadi sa 1 asbuhi ila sorry hio ni offer ni ya ramadhan na eid voda wamesema yaisha jana trh 22.

Hio 8000 ni bundle ya jamaa personal kwa matumizi ya mchana
 
Dah, nimeikosa hii. Mwezi jana nilijikamua nikajaribu bando ya airtel 8gb. Yaani nilipojaribu kudownload 1.2gb sikumaliza ikalalamika kuwa bando imeisha. Mpaka sasa sielewi kinachoendelea behind the scene.
 
Personally natumia TTCL kwenye laptop. Bundle ya tshs 60,000 ni high speed UNLIMITED. It's expensive ila inabidi.
 
naona hiyo ya airtel ya 400mb kwa mwezi haikubali kwa line mpya za airtel,sijajua tatizo ni nini...

airtel walichofanya ni kwamba wateja waliokua wanatumia MB 400 before january wanaendelea kuunganishwa hadi sasa kwa kutuma internet kwenda 15444 ila kama ni new user u wont be able to enjoy that service
 
mmenisaidia sana wakuu mimi ndio nimerudi zangu bongo sijui hata kitu gani kinaendelea. its like my new world.
 
Mtu anaposema viwango vipya sio lazma viwe vimetoka leo au jana ila ni viwango vya mara ya mwisho ambavyo badala yake hamna vyengine vipya
@chief mkwawa hujaelezea viwango vya BlackBerry maana nimeona Voda Airtel, na tiGo wao wapo 7,000/= kwa wiki na hawakubali hii mitandao mingine utumie viwango vyao na kwa sababu hawana limit bora kuendelea kujaza 7,000/= kwa wiki kuliko kujaza
airtel 10,000/= kwa 250Mb wakati tulikuwa haohao airtel ukitumia Modem ni 2,500/ kwa 400Mb ambayo ni slowly hasa labda kuchat F/B
Kwa hiyo mkuu ni lazima kupeana maujanja km wao tu matangazo na miziki inawatosha kwanini watulime hivyo watumiaji tushirikiane gharama zao zimeshaikuta BB na kuipita

airtel walichofanya ni kwamba wateja waliokua wanatumia MB 400 before january wanaendelea kuunganishwa hadi sasa kwa kutuma internet kwenda 15444 ila kama ni new user u wont be able to enjoy that service
Wakuu wameshaeleza kwamba ni offer ya miezi mitatu tu, kweli mwanzo waliiBlock hiyo 400Mb kwa 2,500/= sasa wameirudisha tena ambapo ilitosha kuchart F/B na JF lakini sio kwa kazi za kushusha mafaili
Tusiogope wizi wa Internet kwani wao ndio wezi sana, km Waziri kivuli aliposema 80% ya Ringtone wanachukua wao
na ninawasifu wale wa PDproxy waendelee haya Makampuni yakikosa wateja yatalegea km TTCL
 
Guys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea.

vodacom packages
Hawa jamaa viwango vyao vipya hawana mpinzani i think wapo best navyo ni kama ifuatavyo.

bei (tsh)bundlemda
25025mbsiku
45050mbsiku
700100mbsiku
2,500150mbwiki
7,500500mbwiki
10,000unlimitedwiki
8,000500mbmwezi
15,0001gbmwezi
20,0005gbmwezi
30,000unlimitedmwezi
***************

source: bonyeza *149*01# kuona ukiwa na line ya voda

tigo packages
Hawa wanafatia sema wanalimit speed hio weakness yao. Jinsi bundle inavokua kubwa na speed inaongezeka. So bundle ya bei ghali utapata speed kubwa. Bundle zao zipo kama hivi

bei (tsh)bundlemda
45020mbsiku
2500150mbsiku
4500250mbsiku
2800150mbwiki
10,000750mbwiki
25,0002gbwiki
8500600mbmwezi
35,0003gbmwezi
55,0005gbmwezi
99,00010gbmwezi

Source: *148*01# kwa line yako ya tigo

zantel packages
Hawa nimeona bundle nzuri replacement ya ile ya airtel 2500 ambayo ni bronze sh 4000 unapata mb 600 kwa mwezi special kwa watu wanaopenda tumia simu nazo bundle zao zipo hv

bei (tsh)bundlemda
100050mbsiku
3000300mbsiku
10,000unlimitedsiku 3
70001gbwiki
4000600mbmwezi
20,0005gbmwezi
40,0008gbmwezi
90,00014gbzaid ya mwezi
140,000gb25zaid ya mwezi

Source Find your Rhythm

airtel packages
walijizolea umaarufu kwa mb400 kwa 2500 ila bundle zao mpya ni ghali wajirekebishe zipo kwa muda na kwa data

-kwa muda

mudabei(tsh)
saa200
siku500
wiki10,000
mwezi3000

-kwa data

bei (tsh)bundlemda
150025mbnil
2500150mbnil
10,000250mbnil
12,000500mbnil
15,0001gbnil
25,0002gbnil
30,0003gbnil
45,0005gbnil
70,0008gbnil
140,00015gbnil
200,00020gbnil

Bonyeza *154*44# kwa airtel
Ni hayo tu

mbona airtel bando yao ya mwezi ya 2500 kwa 400mb bado iko hewani,, me nimejiunga juz juz sema tu haitangazwi,, ni kwa ajili ya membaz tu..take that
 
hujaelezea viwango vya BlackBerry maana nimeona Voda Airtel, na tiGo wao wapo 7,000/= kwa wiki na hawakubali hii mitandao mingine utumie viwango vyao na kwa sababu hawana limit bora kuendelea kujaza 7,000/= kwa wiki kuliko kujaza
airtel 10,000/= kwa 250Mb wakati tulikuwa haohao airtel ukitumia Modem ni 2,500/ kwa 400Mb ambayo ni slowly hasa labda kuchat F/B
Kwa hiyo mkuu ni lazima kupeana maujanja km wao tu matangazo na miziki inawatosha kwanini watulime hivyo watumiaji tushirikiane gharama zao zimeshaikuta BB na kuipita

Ok hii ni huduma ya zantel ya blackberry imegawanywa katika makundi ma tatu

kundi la kwanza blackberry social plan hili utapata net maeneo yafuatayo
►blackberry messenger (bbm)
►blackberry email
►blackberry app world
►on device browser
►social networking (facebook twitter nakadhalika)

Hapo ina maana net yako utatumia kwa app zinazotambulika na bb tu. Mfano ustumie facebook kwa opera utakatwa hela lazma utumie official aplication ya fb

viwango vyao
→siku sh 500
→wiki sh 3000
→mwezi sh 12,000

kundi la pili blackberry complete plan
►feature zote za social plus
►instant messaging kama msn na yahoo
► web based email account

Hapa kidogo tunauonja utamu wa net

viwango vyao
→siku 1000
→wiki 5000
→mwezi 17,000

kundi la tatu blackberry absolute plan
►feature zote za complete plus
►blackberry protect
►bes express compability

Hapa ndo unaenjoy vyote.

viwango vyao
→ wiki sh 7000
→mwezi 20,000
→miez mi tatu 55,000
→miezi sita 105,000

Mimi stumii bb nsaidie kupost viwango vya mitandao mengine
 
airtel walichofanya ni kwamba wateja waliokua wanatumia MB 400 before january wanaendelea kuunganishwa hadi sasa kwa kutuma internet kwenda 15444 ila kama ni new user u wont be able to enjoy that service

Hapo nimekuelewa mkuu,sina budi kutafuta ustaarabu mwingine...
 
Ili kupata bundle ya airtel 400mb kwa tsh.2500.
Fanyeni hivi... Andika neno internet kwenda namba 15444.
Utapata hiyo bundle.
 
Hiyo code inaleta nini hasa? Nimejaribu kuibonyezabadala yake imenipongeza na kuniambia nianze unlimited calls na internet saa 5 usiku. Sasa hiyo 8,000/= ndo nini?

Mkuu hiyo 8,000/= unapata 500MB kwa mwezi na *102*250# ni unlimited kuanzia saa 5usiku mpaka saa 1asubuhi, so My downloads zote zinafanyika usiku tu
 
Mkuu hiyo 8,000/= unapata 500MB kwa mwezi na *102*250# ni unlimited kuanzia saa 5usiku mpaka saa 1asubuhi, so My downloads zote zinafanyika usiku tu

mkuu hiyo ya tshs.250 speed ikoje and naweza kushusha season yenye episode 16?
 
Mkuu hiyo 8,000/= unapata 500MB kwa mwezi na *102*250# ni unlimited kuanzia saa 5usiku mpaka saa 1asubuhi, so My downloads zote zinafanyika usiku tu

Kuna mdau konitonya kuwa ofa hiyo imekoma jana. Mie nimeitest usiku wa kuamkia leo.
 
mkuu hiyo ya tshs.250 speed ikoje and naweza kushusha season yenye episode 16?

Speed ya kutosha mkuu me na kisimu changi hua napata hadi 350KB/s na nilishawahi shusha episode za 175MB za kutosha tu
 
Back
Top Bottom