Viva viettel (halotel)

Viva viettel (halotel)

mkuu Chief-Mkwawa hapo unatumia modem au simu?
coz mimi kwenye modem yangu ya Universal nikiweka mtandao unasoma vizuri kabisa lakini nikiconnect inagoma inaleta ujumbe ambae siuelewi elewi

View attachment 297412
huu ndo ujumbe wenyewe

View attachment 297414

nikisearch manually inasemoma mitandao hii

View attachment 297417

sijui hapo tatizo ni nini
Modem ya Safaricom inakuja na Settings za Safcom na nahisi ukichunguza utakuta APN,username na pass pamoja na Proxy

Nakishauri Nenda Tools>>>>>>Options>>>>>>>Profile Management

Tengeneza Profile yenye jina Halotel then set APN to b-internet
Enjoy
 
upo sahihi kaka hio uliotaja ndio ndio inayofanya kazi, maybe sababu hawajazindua bado baadae watabadilisha

na speed yangu hii hapa

1QfyoTj.jpg

PJ3Iltr.jpg

hapa nilipo signal zao ndogo kidogo kama nikipata mahali ipo full nitapima tena speed

Vifurushi vyao vya internet vipoje?

I mean vifurushi vya siku, mwezi, wiki. Na gharama zao zipoje?

Wameshaanza kugawa moderm zao?
 
Vifurushi vyao vya internet vipoje?

I mean vifurushi vya siku, mwezi, wiki. Na gharama zao zipoje?

Wameshaanza kugawa moderm zao?

vyote bado wanasema *148*66# ni kama namba ya kujiungia ila haifanyi kazi so far naweza angalia salio (*102#), salio la kifurushi kinachokuja na line (*102*01#), na usajili tu (*106#)

modem nadhani bado hawajaanza kutoa ila ni vyema ukawa na modem yako universal si vyema kuwa locked mtandao mmoja hasa Tanzania.
 
Moderm universal unawekaje settings?
 
vyote bado wanasema *148*66# ni kama namba ya kujiungia ila haifanyi kazi so far naweza angalia salio (*102#), salio la kifurushi kinachokuja na line (*102*01#), na usajili tu (*106#)

modem nadhani bado hawajaanza kutoa ila ni vyema ukawa na modem yako universal si vyema kuwa locked mtandao mmoja hasa Tanzania.

Line inauzwa bei gani?
 
dah voda,tigo MB 1,Airtel MB 2 Hallotel leo inapatikana wapi?
 
Nilipoona voda wanatoa mb1 nilijua tu akina tigo wapo nyuma kama kawaida yao
Mpendwa mteja,Kuanzia KESHO Mini Kabang Sh 499 kitatoa DK 6,SMS 40& MB 1, Xtrme Sh 499 itatoa DK 14,SMS4O & MB 1 vitatumika hadi SAA 6USK.Samahani kwa usumbufu
 
Tangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo
Network yao haijawa na wateja wengi bado ndio maana!
The Network is almost idle.
 
Mkwawa,nina line ya Halotel kwenye simu internet haifungui...kila nikjaribu Home page inakuja yao Halotel na inakua undee constrution..nimebadili home page bado inakataa,tatizo itakua ni nini?
 
Vietel ni jeshi la Vietnam, pamoja na matatizo yoote waliyonayo wameweza kuja kuwekeza nje ya mipaka yao. .hongera zao lakini VP KUHUSU TTCL YETU?

KwaniTTCL ni ya jeshi?

Haujuwi kuwa "matatizo" ni mlango wa fursa? Bila kuwa na tatizo utaipata wapi fursa? Tumia kichwa chako japo kwa kufikiri kiduchu, si kibaki kuwa ni mzigo tu mabegani mwako.
 
Kwanini tTCL ni ya jeshi?

Haujuwi kuwa "matatizo" ni mlango wa fursa? Bila kuwa na tatizo utaipata wapi fursa? Tumia kichwa chako japo kwa kufikiri kiduchu, si kibaki kuwa ni mzigo tu mabegani mwako.

Hivi una nini wewe mbona huishi kujipendekeza kwangu? There must be something very wrong on your medula
 
intanet inataka kuwa ya gharama sana nchi hii,,,,,ila msihofu,rais magufuli atarekebisha hali hii
 
Kwanini tTCL ni ya jeshi?

Haujuwi kuwa "matatizo" ni mlango wa fursa? Bila kuwa na tatizo utaipata wapi fursa? Tumia kichwa chako japo kwa kufikiri kiduchu, si kibaki kuwa ni mzigo tu mabegani mwako.

tTCL ni kitu gani ??? Haujuwi = haujui
Hizo shule mlienda kusomea ujinga ??
 
intanet inataka kuwa ya gharama sana nchi hii,,,,,ila msihofu,rais magufuli atarekebisha hali hii

Ukisikia ujinga ndo kama huu ulouandika hapo juu, mtu anaenda kuendeleza pale wanyonyaji walipo ishia ndo wakuwa na matumaini nae shame on u.
 
Mkwawa,nina line ya Halotel kwenye simu internet haifungui...kila nikjaribu Home page inakuja yao Halotel na inakua undee constrution..nimebadili home page bado inakataa,tatizo itakua ni nini?

Umeeka apn Yao? b-internet
 
Hivi una nini wewe mbona huishi kujipendekeza kwangu? There must be something very wrong on your medula

Umeshindwa kujibu hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Achana na mimi, jibu hoja zangu.

Kwa kukukumbusha tu, hata huu mtandao unaoutumia leo ulianzia "jeshini" USA.
 
kipind cha majaribio lazima mtandao uwe vzr kwa sbb watumiaji n wachache, ila ukianza kazi na jinsi wateja wanavyoongezeka ndivo mtandao utakavokuwa slow unless waongeze minara zaidi
so cha muhim n aina za huduma watakazotoa ndizo zitakazowaweka wateja otherwise watakuja na kukimbia
 
Back
Top Bottom