msaada nimeweka line ya halotel kwenye simu haikubali kuunga net lakini sms na call ziko vizuri
apn yao ni b-internet kama unajua maana yake eka mwenyewe
kama huelewi hapo juu tuma neno CONFIG kwenda 15503
Mimi nimevutiwa na speed yao.
Nyie bakieni mlipo tusije kubanana huku makao mapya
View attachment 299480
View attachment 299481
Kuna tetesi kuwa hawa jamaa watatoa internet bure vijijini kwa miaka3 tangu uzinduzi
Kwahiyo hawatakuwa wanaunganisha vifurushi vya internet?
Watatumia vigezo gani kutambua miji na vijiji?
Ndugu TTCL imedumaa. Acha tz tuwekezwe hadi siku usafi wa mini yetu waje wawekezaji wa kutoka nje
Hawa wana unlimited internet?
Wanatoa Internet bure kwa shule tatu katika kila kijiji, hayo ndio yalikuwa makubaliano yao na serikali Kabla ya kupewa tenda.Kuna tetesi kuwa hawa jamaa watatoa internet bure vijijini kwa miaka3 tangu uzinduzi
anaejua atupe ufafanuzi basi zinapatikana wapi kwa dar??
Nilijiunga nao nikaona kuwa karibu ya kijijini kwetu "Canada" Mkuranga, Internet yao haishiki vizuri nikaamua kuitoa sim kadi yao kwenye simu yangu, cha kushangaza ni kwamba wameniachia kirusi, kila simu nnapoizima na kuiwasha unakuja ujumbe "hongera umepokea dakika 30 ya muda wa maongezi...".
Ni kirusi na uongo mtupu kwani situmii mtandao wao, ajuae namna ya kuutoa huo ushuzi wao anijuze.
Nenda setting kakorofishe zile save za Network operator...kassave (kabadilishe)msaada nimeweka line ya halotel kwenye simu haikubali kuunga net lakini sms na call ziko vizuri
Kumbe mshamsaidiaapn yao ni b-internet kama unajua maana yake eka mwenyewe
kama huelewi hapo juu tuma neno CONFIG kwenda 15503