Viva viettel (halotel)

Viva viettel (halotel)

umeipata wapi mkuu! nahitaji na mm nijionee

Nenda ofisi zao tafuta mfanyakazi akusaidie kukusajili, mi mwenyewe kuna jamaa kanisaidia tu kunisajilia hakuna njia official ya kusajili watu WA kawaida hadi wazindue.
 
Line wanapewa wafanyakazi na ndugu zao!! Hata mimi nnayo yaani usipime ... Iko fast sana
Hapana bhana, mbona Lindi laini zinapatikana hata kwa raia? Sema for the time being kv hawajazindua, watu wanatwanga tu madakika waliyopewa lakini hazitoki!
 
Nimeenda kwa agents wamesema hawana line hadi Oct 15th.
 
kaka APN ya HALOTEL ukiweka Internet inakataa, wao APN yao ni b-internet

upo sahihi kaka hio uliotaja ndio ndio inayofanya kazi, maybe sababu hawajazindua bado baadae watabadilisha

na speed yangu hii hapa

1QfyoTj.jpg

PJ3Iltr.jpg


hapa nilipo signal zao ndogo kidogo kama nikipata mahali ipo full nitapima tena speed
 
wakijua kuwa kuna halotel wana kuja akina voda, tigo na airtel wanajifanya wanabip na vi offer vyao, watu tunataka mabadiliko, mkilala na unyonyaji wenu tuutawasusa
 
upo sahihi kaka hio uliotaja ndio ndio inayofanya kazi, maybe sababu hawajazindua bado baadae watabadilisha

na speed yangu hii hapa

1QfyoTj.jpg

PJ3Iltr.jpg


hapa nilipo signal zao ndogo kidogo kama nikipata mahali ipo full nitapima tena speed

mkuu Chief-Mkwawa hapo unatumia modem au simu?
coz mimi kwenye modem yangu ya Universal nikiweka mtandao unasoma vizuri kabisa lakini nikiconnect inagoma inaleta ujumbe ambae siuelewi elewi


halotel.png
huu ndo ujumbe wenyewe

halotelll.png

nikisearch manually inasemoma mitandao hii

halotell.png

sijui hapo tatizo ni nini
 
mkuu Chief-Mkwawa hapo unatumia modem au simu?
coz mimi kwenye modem yangu nikiweka mtandao unasoma vizuri kabisa lakini nikiconnect inagoma inaleta ujumbe am

Hii Ni simu na hotspot,

Kwa modem tengeneza configuration upya eka apn kama b-internet sababu apn ya kawaida haitakubali kama alivyosema Krama hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Burundi washaanza kuoperate wanatumia brand name ya Lumitel

Wako nchi 9 hawa watu na wanafanya vizuri boss, ngoja tusubiri TZ
Mfno: Burundi - Lumitel, Mozambique- movitel, Peru..Natcom, Hait ...Metafone...TZ Halotel. Na kwao huko Vietnam
 
Airtel na Voda wamepata kiboko yao.Natamani na TANESco wangepata kiboko yao
 
Jamani kitu chochote kinapotaka ingia sokoni lazima kishushe bei ila baadae wakipata wateja wanarudi kama kawaida
 
Back
Top Bottom