Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,549
- 21,676
Ondoa unread msg zote na ujaribu tenaNilijiunga nao nikaona kuwa karibu ya kijijini kwetu "Canada" Mkuranga, Internet yao haishiki vizuri nikaamua kuitoa sim kadi yao kwenye simu yangu, cha kushangaza ni kwamba wameniachia kirusi, kila simu nnapoizima na kuiwasha unakuja ujumbe "hongera umepokea dakika 30 ya muda wa maongezi...".
Ni kirusi na uongo mtupu kwani situmii mtandao wao, ajuae namna ya kuutoa huo ushuzi wao anijuze.