Viva viettel (halotel)

Viva viettel (halotel)

Isiwe fasta ina wateja wangapi? Bandwidth si iko idle? Hata Voda, Airtel au tigo ikipunguziwa wateja wengine mkahamia Viettel tutakaobaki spidi itaongezeka huku Viettel ikipungua
Hapana Mkuu; speed haiwezi shuka kwa sababu wanatumia optic fiber.
 
Unakumbuka zilipokatika hizo nyaya baharini internet nchi nzima ilikuwa matatizo? Wote wanatoa huko huko na sababu inakuja na fiber haimaanishi kwamba hawataweka shared speed.
 
Kwa lugha fupi halotel wana advantage sana ukilinganisha na kina voda, tigo n etc, ngoja nidadavue kidogo kuna njia kuu tatu za uunganishwaji ya hii minara ya simu mpaka kumfikia mtumiaji wa mwisho na simu, tablet au kifaa chochote, kuna copper cables, microwave, optic fiber kati ya hizi tatu njia yenye gharama nafuu kabisa ni microwave, na ya juu kabisa ikiwa ni optic fiber. Tukirudi kwa kampuni kama voda na tigo uunganishwaji wa mitandao yao kote nchini ni kwa njia ya microwave na optic fiber, optic fiber ikitumika kwenye masafa marefu kuunganisha hub mbali mbali, mfano dar-moro, moro-dom ila wakishafika iwe dom, moro na kwingineko microwave backhaul hutumika kwa hiyo katika mkoa mmoja wapo minara mingi kama sio yote itaendeleza muunganisho wa mtandao husika wirelessly, kwa hiyo minara ya voda ina majukumu mawili kutoa muunganisho kwa mteja (wirelessly) na kwa minara iliyo karibu yake hivo hivo (wirelessly) lakini hii ni tofauti kwa halotel minara yao yote imeunganishwa na Optic fiber kwa hyo kazi ya minara yao ikibaki kutoa muunganisho kwa wateja wa mwisho tu (wirelessly)[na ndio maana minara yao inaonekana midogo kwasababu kazi kubwa imebebwa na optic fiber] , kama inavyofahamika optic fiber ina advantage kubwa ukilinganisha na microwave kwanza ina kinga dhidi ya interference mbalimbali, kama hali ya hewa, electrical, mechanical(vibrations), Bandwidth kubwa, speed na nyingine kedekede kwa hiyo tutegemee huduma nzuri kutoka kwa hawa jamaa, kuna sehemu mvua ikinyesha tu simu hazitoki haya yote yatasahaulika.
 
Kama hauna kipara kama cha maprofesa mpaka kisogoni mungu akupe hima hima.

Maana umeweka maandishi murua saana haya.
 
Mie nina mb 5000 hadi 6/01/2016 voda nimepaki
 
Kwa lugha fupi halotel wana advantage sana ukilinganisha na kina voda, tigo n etc, ngoja nidadavue kidogo kuna njia kuu tatu za uunganishwaji ya hii minara ya simu mpaka kumfikia mtumiaji wa mwisho na simu, tablet au kifaa chochote, kuna copper cables, microwave, optic fiber kati ya hizi tatu njia yenye gharama nafuu kabisa ni microwave, na ya juu kabisa ikiwa ni optic fiber. Tukirudi kwa kampuni kama voda na tigo uunganishwaji wa mitandao yao kote nchini ni kwa njia ya microwave na optic fiber, optic fiber ikitumika kwenye masafa marefu kuunganisha hub mbali mbali, mfano dar-moro, moro-dom ila wakishafika iwe dom, moro na kwingineko microwave backhaul hutumika kwa hiyo katika mkoa mmoja wapo minara mingi kama sio yote itaendeleza muunganisho wa mtandao husika wirelessly, kwa hiyo minara ya voda ina majukumu mawili kutoa muunganisho kwa mteja (wirelessly) na kwa minara iliyo karibu yake hivo hivo (wirelessly) lakini hii ni tofauti kwa halotel minara yao yote imeunganishwa na Optic fiber kwa hyo kazi ya minara yao ikibaki kutoa muunganisho kwa wateja wa mwisho tu (wirelessly)[na ndio maana minara yao inaonekana midogo kwasababu kazi kubwa imebebwa na optic fiber] , kama inavyofahamika optic fiber ina advantage kubwa ukilinganisha na microwave kwanza ina kinga dhidi ya interference mbalimbali, kama hali ya hewa, electrical, mechanical(vibrations), Bandwidth kubwa, speed na nyingine kedekede kwa hiyo tutegemee huduma nzuri kutoka kwa hawa jamaa, kuna sehemu mvua ikinyesha tu simu hazitoki haya yote yatasahaulika.

Maelezo safi sana, umedadavua vyema nadhani hakuna ambaye atakuwa hajaelewa
 
Excellent, tisini na tano juu ya mia. Kampuni ya Safaricom ke pia imelink minara kwa fibre optic cables, internet spidi nzuri kweli kweli.
 
pengine haitengenezi setting za internet automatic utahitajika kutengeneza mwenyewe manual.

nenda setting then more network then mobille network then acess point name,

unachokiona hapo ndio setting zako za internet kama hakuna kitu inabidi utengneze, bonyeza menu button (kushoto chini) chagua new apn halafu connection name andika chochote na apn jaza internet. turn back hakikisha setting zako zipo activated utaona data inafanya kazi

Hapo kwenye APN name verify kwanza kama wanatumia "internet", inaweza kuwa any name
 
Hapa kijijini kwetu wameweka mnara wao ni mwembamba na wameushikilia na nyaya pembeni na wakala wao ameniambia watazindua tarehe 15/10 na kwa sasa anayo simcard za Halotel ila hawajapewa ruhusa ya kuuza mpaka tarehe 15/10.
 
Kwa lugha fupi halotel wana advantage sana ukilinganisha na kina voda, tigo n etc, ngoja nidadavue kidogo kuna njia kuu tatu za uunganishwaji ya hii minara ya simu mpaka kumfikia mtumiaji wa mwisho na simu, tablet au kifaa chochote, kuna copper cables, microwave, optic fiber kati ya hizi tatu njia yenye gharama nafuu kabisa ni microwave, na ya juu kabisa ikiwa ni optic fiber. Tukirudi kwa kampuni kama voda na tigo uunganishwaji wa mitandao yao kote nchini ni kwa njia ya microwave na optic fiber, optic fiber ikitumika kwenye masafa marefu kuunganisha hub mbali mbali, mfano dar-moro, moro-dom ila wakishafika iwe dom, moro na kwingineko microwave backhaul hutumika kwa hiyo katika mkoa mmoja wapo minara mingi kama sio yote itaendeleza muunganisho wa mtandao husika wirelessly, kwa hiyo minara ya voda ina majukumu mawili kutoa muunganisho kwa mteja (wirelessly) na kwa minara iliyo karibu yake hivo hivo (wirelessly) lakini hii ni tofauti kwa halotel minara yao yote imeunganishwa na Optic fiber kwa hyo kazi ya minara yao ikibaki kutoa muunganisho kwa wateja wa mwisho tu (wirelessly)[na ndio maana minara yao inaonekana midogo kwasababu kazi kubwa imebebwa na optic fiber] , kama inavyofahamika optic fiber ina advantage kubwa ukilinganisha na microwave kwanza ina kinga dhidi ya interference mbalimbali, kama hali ya hewa, electrical, mechanical(vibrations), Bandwidth kubwa, speed na nyingine kedekede kwa hiyo tutegemee huduma nzuri kutoka kwa hawa jamaa, kuna sehemu mvua ikinyesha tu simu hazitoki haya yote yatasahaulika.

Kwa mwendo huu hata kama vifurushi vikiwa ghali watu watakimbilia sana kwenye huu mtandao.

Nitakuwa wa kwanza kujiunga.
 
Big up kaka kwa elimu tosha
 
Wacha waongeze ushindani tumechoka kuibiwa na haya makampuni ya Voda na tigo.
 
Back
Top Bottom