Viva viettel (halotel)

Viva viettel (halotel)

Isiwe fasta ina wateja wangapi? Bandwidth si iko idle? Hata Voda, Airtel au tigo ikipunguziwa wateja wengine mkahamia Viettel tutakaobaki spidi itaongezeka huku Viettel ikipungua
 
Msitushuulishe sindo wanaanza tegemea mazuri tuu ila wacha wateja wawe tutawaona
 
Nimeona hapa Mwanza wanazunguka na msafara wa magari yao mtaani sijawasikiliza vizuri matangazo yao..sijui ndio wanazindua?
 
Kiukweli hapa mtaani kwangu tangu jana watu wanajinafasi hasa walibahatika kupata line zao.nipo mkoani mara
 
Tatizo wakianza wanakuja na offer kibao baadae wanaanza ukuda eti offer kupiga simu saa 5 usiku mpaka 11 sasa usilale upige misimu huo si utapeli??!!!
 
Halotel. Kwa walio Tanga wapo barabara ya 15 .... Inatazamana na Taifa Road. Zamani ilikuwa ofisi ya kiwanda cha sukari TPC. Ofisi zao ni za kisasa....
 
Kwa huku tarime jana na juzi walipita wakihitaji mawakala na wote waliojitokeza walipewa line bure ikiwa na gb 5 dk hazina idadi,ila dk ni kwa ajili ya mtandao wao pekee.utaongea unavyotaka maana hata dk hazionekani.binafsi sikuipata line yao ila jumatatu nitawaibukia ofisini kwao ili nikaombe uwakala lakino nia yangu nipate hayo mgb kwa ajili ya makamuzi
 
Attachments

  • 1443340560693.jpg
    1443340560693.jpg
    22.1 KB · Views: 1,296
  • 1443340573263.jpg
    1443340573263.jpg
    9.7 KB · Views: 1,210
Nashindwa elewa kwanini TTCL imekufa na hata kusimama haisimami...
Inakuwaje nchi tunaikaribisha kampuni ya Kijeshi ya nchi nyingine kuja kuwekeza kwenye mawasiliano nchini kwetu?
Hii nchi akili hatuna... na bado kuna wengine wataichagua CCM...
TTCL yafaa
Hao Halotel wajiandae kisaikolojia maana upinzani wa Tigo, Voda, Airtel ni noma sana
 
Halotel imeletwa na mukulu mwenyewe unategemea nn!
 
Back
Top Bottom