Viva viettel (halotel)

Viva viettel (halotel)

Kama alivyokuwa Lowassa Mlutheri!

lowassa sio mlutheri! walutheri hatupo kama lowassa kila kitu ananunua, chama kanunua, wanachama na wapambe kawanunua maana anawanusisha pesa watu ni miudenda haikauki kesha nunua dini zote, mwambie akanunue dini nyngne sio lutherani
 
Tangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo

hizo line na vocha nazipata wapi maana na hitaji hata sshv na bei zao zipo vp mkuu
 
Hii laini nimeichukia jana ila kwenye simu yangu galaxy s3 data hazisomi ....msaada tafadhali .....nimefanya setting yote lakini tatizo liko pale pale ila yenyewe inasoma vizuri upande wa mawasiliano.
 
pengine haitengenezi setting za internet automatic utahitajika kutengeneza mwenyewe manual.

nenda setting then more network then mobille network then acess point name,

unachokiona hapo ndio setting zako za internet kama hakuna kitu inabidi utengneze, bonyeza menu button (kushoto chini) chagua new apn halafu connection name andika chochote na apn jaza internet. turn back hakikisha setting zako zipo activated utaona data inafanya kazi
 
Nashindwa elewa kwanini TTCL imekufa na hata kusimama haisimami...
Inakuwaje nchi tunaikaribisha kampuni ya Kijeshi ya nchi nyingine kuja kuwekeza kwenye mawasiliano nchini kwetu?
Hii nchi akili hatuna... na bado kuna wengine wataichagua CCM...
TTCL yafaa
Hao Halotel wajiandae kisaikolojia maana upinzani wa Tigo, Voda, Airtel ni noma sana

Mkuu sio kila kitu ni ccm tu japo hii vietel ililetwa na serikali hii ya ccm.

Hapa si ccm wala ukawa wanaoweza kukataa uwekezaji wao, au unaweza kuniambia ni lini wapinzani waliwahi kulizungumzia hili?
 
wamekufa vipi? juzi tu nao wamezindua 4g yao.

jamaa hawana wafanyakazi kabisa na minara nafkiri ni ya ttcl sitashangaa siku nikiona financial result zao wakiwa wanapiga profit kubwa kushinda wakongwe.

Kaka sijakupata vizuri kwenye red hapo. Naomba ufafanuzi.
 
hawa smart wanapatikana nchi nzima lakini hawana ofisi kabisa huko mikoani, na kama hawana ofisi ina maana hawana wafanyakazi mikoani. pia minara wanayoitumia si yao, mmiliki simjui ila nahisi itakuwa ni ya ttcl/serikali minara hii pia ilikuwa inatumiwa na voda kama roaming, ina coverage kubwa sana hadi vijijini ambapo 3g haijafika hii minara imefika.

kama huna ofisi na wafanyakazi inamaana gharama za uendeshaji zinakuwa ndogo sana, inawezekana wakawa wanapata faida kubwa tu. ila ni theory yangu tu wanaweza pia kuwa wanakula hasara
 
Vietnam's Viettel Group expects to launch mobile operations in Tanzania in October 2015 under the brand name Halotel, VietnamNet reports, citing Tao Duc Thang, director general of the telco's international arm, Viettel Global. Halotel is in the ‘final phase of infrastructure construction', and the new market entrant intends to offer both 2G and 3G connectivity from launch. Going forward, Viettel intends to deploy mobile networks in all 26 Tanzanian provinces.

As previously reported by TeleGeography's CommsUpdate, in October 2014 Viettel was granted a licence to build and operate a 3G mobile network in Tanzania, with chairman Manh Nguyen said to have made a pledge to invest USD1 billion in ‘telecoms and other services'.

In related news, the article quotes Thang as saying that Viettel Global is now conducting market research in a number of other African countries, including Burkina Faso, Kenya, Swaziland, Cote d'Ivoire, Uganda, Rwanda, Ethiopia and Madagascar, with a view to expanding its African footprint even further.
 
hawa smart wanapatikana nchi nzima lakini hawana ofisi kabisa huko mikoani, na kama hawana ofisi ina maana hawana wafanyakazi mikoani. pia minara wanayoitumia si yao, mmiliki simjui ila nahisi itakuwa ni ya ttcl/serikali minara hii pia ilikuwa inatumiwa na voda kama roaming, ina coverage kubwa sana hadi vijijini ambapo 3g haijafika hii minara imefika.

kama huna ofisi na wafanyakazi inamaana gharama za uendeshaji zinakuwa ndogo sana, inawezekana wakawa wanapata faida kubwa tu. ila ni theory yangu tu wanaweza pia kuwa wanakula hasara

Nimekupata.

Smart hawana impact kama hii mitandao mikubwa.
 
pengine haitengenezi setting za internet automatic utahitajika kutengeneza mwenyewe manual.

nenda setting then more network then mobille network then acess point name,

unachokiona hapo ndio setting zako za internet kama hakuna kitu inabidi utengneze, bonyeza menu button (kushoto chini) chagua new apn halafu connection name andika chochote na apn jaza internet. turn back hakikisha setting zako zipo activated utaona data inafanya kazi

Nimeshafanya hivyo lakini hakuna kitu ziko kimya tu data haipandi.
 
Jamani hawa halotel wanakuja kuwakimbiza wanamagumashi voda na tigoo hii speed sio masihala
 
hawa smart wanapatikana nchi nzima lakini hawana ofisi kabisa huko mikoani, na kama hawana ofisi ina maana hawana wafanyakazi mikoani. pia minara wanayoitumia si yao, mmiliki simjui ila nahisi itakuwa ni ya ttcl/serikali minara hii pia ilikuwa inatumiwa na voda kama roaming, ina coverage kubwa sana hadi vijijini ambapo 3g haijafika hii minara imefika.

kama huna ofisi na wafanyakazi inamaana gharama za uendeshaji zinakuwa ndogo sana, inawezekana wakawa wanapata faida kubwa tu. ila ni theory yangu tu wanaweza pia kuwa wanakula hasara

We hao smart wapo nchi nzima ya wapi? Mi huku niliko kilosa cjawai ona network yao.

Hawa halotel pia japo wamepita huku nadhan huku hakujawashwa, niki search operators manually waliopo huku, naishia kuona voda, tigo na airtel tu
 
Siyo lazima Uone watu wamefungua Vibanda huko hiyo Smart ni Popote wakati inaitwa Benson Online nilipataga deal mwaka 2013 nikaenda nayo mpaka kigoma Vijijini Ikawa ina kasi ya ajabu hapo hapo Kilosa mkuu kama unashemeji yuko Dar au Morogoro mwambie akuletee SIM CARD yake uanze Ku enjoy ni kila sehemu ya Nchi hii.
 
Back
Top Bottom