๐—ฉ๐—ถ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

๐—ฉ๐—ถ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

Yeah. Hilo ni la msingi sana. Tukijua idadi na malengo yao mahsusi tutajipanga vyema zaidi ili kuwapokea. Tena ni vizuri mno kufahamu mapema mawasiliano yao (lugha au Ishara), vyakula na vinywaji vyao ili mapokezi yaweze kufana.
Angalizo: Tusiwe na mawazo hasi eti wanakuja kwa shari (kama habari hii ni ya kweli).
Hili neno linatumika kimakosa ,ulipaswa utumie neno sana,neno mno hutumika pale unapoelezea kitu chenye kuliwa,mfano ugali ulikuwa mtamu mno
 

Aliens are also part of the army of the underworld that will come to bring destruction though to us, they may seem normal.

But in the end, hell will be opened and strange things will appear live.

Revelation 9:2
He opened the bottomless pit, and smoke rose out of the pit like the smoke of a great furnace. So the sun and the air were darkened because of the smoke of the pit.

Revelation 9:3
Then out of the smoke locusts came upon the earth. And to them was given power, as the scorpions of the earth have power.


I was Taken into Spiritual Realm during Night Hours , then i saw
Their spaceship came in Earth
and i was taken inside their Spaceship, they spoke unknown language and also its like a word say if you will know their knowledge you will cause great changes in the world
Then they entered into star inside i saw planets ๐Ÿช
But they revolved different And high temperature inside
They sometimes move to other planets because of hight temperature
Then in saw they had weapons
I asked y they are living with peace themselves and they have weapons
They said they fight against beasts
To protect themselves
 
Wanashuka ikulu ya marekani ili watembezwe dunia nzima kama wanafanya utalii au utafiti au explore kama vile wakoloni wa kizungu walivyoijia afrika
 
Huku dada zetu wakijilengesha lengesha wabebe ujauzito kama wanavyojiacha kwa wahindi na wazungu.
Unajua Dada zetu( black woman) hawako kwenye demand ama kupendwa na race zingine regardless kuwa na maumbo Mazuri karibia kupita wanawake wa race zingine!.
Ni rahisi mwanaume mweusi kudate/kuoa race zingine kuliko Dada zetu. wapo bottom of dating pool,wanaume wa race zingine wana wahepa kutokana na tabia zao za kuwa opportunist.
 
View attachment 3428133

Inawezekana umeshtuka kidogo ๐Ÿ‘‹, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.

Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025,

View attachment 3428135

Profesa Avi loeb alisema Kuna dalili za wazi wazi kuwa tunatembelewa na wageni kutoka comet โ˜„๏ธ kupitia chombo aina ya 3I/ATLAS.

Chombo hicho kinakuja Kwa Kasi ya ajabu ya maili 130,000 kwa saa kuelekea kwenye mfumo wetu wa jua, hivyo ilipelekea kuzua mjadala mkubwa Kati ya wanaanga na wanasayansi.



Kwa mara ya kwanza kiliweza kugundulika tarehe 1 Julai 2025, ni kifaa chenye muonekano kama nyota ambapo kinatoka nje ya mfumo wetu wa jua nView attachment 3428136View attachment 3428137a kinakuja kwetu. Ukubwa wa chombo hicho kinakadaliwa ni kikubwa kuliko Mji wa Manhattan wa marekani ambapo kinakarabia kuikaribia Dunia Yetu mwisho wa mwezi novemba 2025.

View attachment 3428138View attachment 3428139

Kinachoogopesha zaidi ni ujio wa Aliens ๐Ÿ‘ฝ kuja kuishambulia Dunia, hivyo kinatia shika kinawezekana kiwaka sio kimondo bali ni chombo cha viumbe aina ya Aliens vinakuja Duniani ๐ŸŒ.
Asante kwa taarifa mkuu
 
Unajua Dada zetu( black woman) hawako kwenye demand ama kupendwa na race zingine regardless kuwa na maumbo Mazuri karibia kupita wanawake wa race zingine!.
Ni rahisi mwanaume mweusi kudate/kuoa race zingine kuliko Dada zetu. wapo bottom of dating pool,wanaume wa race zingine wana wahepa kutokana na tabia zao za kuwa opportunist.
Aaaaah! Mjomba. Usiwasagie kunguni dada zetu - acha tu wajipambanie wenyewe aisee. Maisha yenyewe ndo haya-haya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom