๐—ฉ๐—ถ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

๐—ฉ๐—ถ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

Nimeona hii habari ila nikaipuuza baada ya kuona Trump bado anapandishiana mabega na Urusi.

Unless IQ yetu iwe ndogo mno ila kama tuna IQ ya kawaida tu, ikiwa kuna hatari halisi ya ujio unaosemwa binadamu wote tutakuwa na adui mmoja hatari zaidi si rahisi kutishiana NUKE wenyewe kwa wenyewe katika mazingira kama haya.
black tusiwe na wasi wasi..mabraza zetu wazungu wapo watamalizana na hao Wageni uku sisi tukiendelea kujadili ujenzi wa Choo.
Nb; hii dunia ifike mwisho tu.
 
Idadi Yao kama wangapi hivi
Yeah. Hilo ni la msingi sana. Tukijua idadi na malengo yao mahsusi tutajipanga vyema zaidi ili kuwapokea. Tena ni vizuri mno kufahamu mapema mawasiliano yao (lugha au Ishara), vyakula na vinywaji vyao ili mapokezi yaweze kufana.
Angalizo: Tusiwe na mawazo hasi eti wanakuja kwa shari (kama habari hii ni ya kweli).
 
Mjiandae kuzibuliwa Yas ๐Ÿ˜น

Ila waungwana mkikosaga cha kuandika mtulie, sasa hizo story za kusadikika sisi za kazi gani?
 
black tusiwe na wasi wasi..mabraza zetu wazungu wapo watamalizana na hao Wageni uku sisi tukiendelea kujadili ujenzi wa Choo.
Nb; hii dunia ifike mwisho tu.
Nakazia hoja: Ikiwa ni pamoja na kufuatilia Rufaa za kesi dhidi ya Ukiukwaji wa Haki katika Mchakato wa Uchaguzi utakaokuwa umefanyika Octoba mwaka huu 2025.:AYOOO:
 
View attachment 3428133

Inawezekana umeshtuka kidogo ๐Ÿ‘‹, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.

Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025,

View attachment 3428135

Profesa Avi loeb alisema Kuna dalili za wazi wazi kuwa tunatembelewa na wageni kutoka comet โ˜„๏ธ kupitia chombo aina ya 3I/ATLAS.

Chombo hicho kinakuja Kwa Kasi ya ajabu ya maili 130,000 kwa saa kuelekea kwenye mfumo wetu wa jua, hivyo ilipelekea kuzua mjadala mkubwa Kati ya wanaanga na wanasayansi.



Kwa mara ya kwanza kiliweza kugundulika tarehe 1 Julai 2025, ni kifaa chenye muonekano kama nyota ambapo kinatoka nje ya mfumo wetu wa jua nView attachment 3428136View attachment 3428137a kinakuja kwetu. Ukubwa wa chombo hicho kinakadaliwa ni kikubwa kuliko Mji wa Manhattan wa marekani ambapo kinakarabia kuikaribia Dunia Yetu mwisho wa mwezi novemba 2025.

View attachment 3428138View attachment 3428139

Kinachoogopesha zaidi ni ujio wa Aliens ๐Ÿ‘ฝ kuja kuishambulia Dunia, hivyo kinatia shika kinawezekana kiwaka sio kimondo bali ni chombo cha viumbe aina ya Aliens vinakuja Duniani ๐ŸŒ.
Picha za kutishia watoto ndo unaazishia uzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom