Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,388
Aaah baada ya hapo ndio ilibidi niwe na mawasiliano mujarab na mwalimu wake maana mambo ya "mama wewe hujui" siyataki tenaMimi siku hizi kama sielewi nakaa pembeni nampigia Mwl anieleweshe kama nitakuwa nimeshindwa kupata jibu sahihi.Sitaki aibu tena ya kumkosesha mtoto wakati anaamini Mama ni Kipanga![]()



Maana wakati nimekazana na ile ya zamani akawa ananitazama tu usoni kama hanisomi hivi, ndio akaona mambo yasiwe mengi akanyanyuka na daftari lake





