Million!!!!bado sijaona ila naamin zipoHujawahi kuona kanzu ya milioni 1 mkuu?
Maisha wala siyaelewagi[emoji849][emoji849]
Jamaa analishwa sana manenoProfesa ongeza sauti View attachment 1968739
Nani huyo hv??Alafu alikuwa anacheka alivyokosa[emoji23]. Qatari bila uzalendo mtapasikia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1967973
[emoji23][emoji23][emoji23]hii ish ya kuonyesha middle finger wiki hii nlikuwa naenda job mida ya saa11 asbh sasa kupita mahali kuna paka linalia Lia tu "nyau nyau" asee nkamuonyeshea middle finger nkaondoka wee!! Nkatembea baadae nkajikuta narudi eneo karibia na lile nlipopita asee nkasema au paka kanizingua nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikabid niombe Mungu na msahama kweny sala nkabadili na njia kabisa...Ungemuonyeshea kidole cha kati
Watu wawili tofaut hao mkuuBaada kukatwa robo 3 ya maziwa yake, kupunguzwa midomo na kuwekewa dimpoz, sasa ni mwendo wa kumwaga nyodoView attachment 1968726View attachment 1968727
Sijaelewa hapa[emoji1787]View attachment 1968562
A.k.a Guruwe...Inaitwa 504View attachment 1969160
Huyu atakuwa shemeji yake Gwajiboy yule wanayerushiana vijembe