Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mm nilikutana na mtu ananunua Tv ya Samsung million 12
Jamaa yangu alikua anajiandaa na harus tukapanga bajet ya kanzu lak unusu,kofia, kilemba msuli na vinginevyo lak unusu jumla matumiz lak tat mguu mosi mguu pili mpaka mtaa wa msikit nadhan ni posta pale kwa mara ya kwanza ktk uhai wangu nikakutana na kanzu inauzwa laki saba taslimu na kofia tukatoa ofa ya laki mtoto wa kike akatujibu haina maslah akaendelea zake kuchat
 
Ungemuonyeshea kidole cha kati
 
FB_IMG_1633703967305.jpg
 
Jina lake Bi Samia mtoto wa Mzee Suluhu Mjukuu wa Mzee Hasan Mke wa Mzee Hafidh sina hakika km mke wa kwanza au wa pili au singo waif taarifa zake ndio hizo fanya mambo mkeka ujao wa teuzi yoyote jina langu liwemo kuhusu malipo nitakulipa kabla ya kuingia chumba cha kiapo
 
Back
Top Bottom