Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,862
- 147,311
[emoji1787]waap,mie bado mtoto[emoji41]Itakua bae wako kazingua
[emoji1787]waap,mie bado mtoto[emoji41]Itakua bae wako kazingua
Ya kwangu ilikua imezungushiwa kijibat cha shaba nilikua hata nikiiogea fulesh
Elimu yetu ya kukalilishana.....kacha izi a laifu staili ofu patikyula pipo....walimu acheni kukompliketi maisha
Hapo huku unaimba *sitaki shule eee*huku unaenda
🤣🤣🤣Ya kwangu ilikua imezungushiwa kijibat cha shaba nilikua hata nikiiogea fulesh
Huyu ni mm kabisa, darasa la 3 ndiyo nilianza kupenda shule....kuanzia la kwanza ilikuwa ni fimbo tu....na mazingira ilikuwa baridi sana asubuhiHapo huku unaimba *sitaki shule eee*huku unaenda
Kwa waafrika Tu...na kwa account inactive
wanawake wa hivi kwa nini hatuwapigii kura wawe marais
Aulizwe mzee furani, yumo humo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujawahi kuona kanzu ya milioni 1 mkuu?Kofia ilikua laki unusu tukatoa ofa kwa lak kanzu ya lak saba tuliachana nayo lkn vyote tulikosa