Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,320
- 71,084
Wanyaki nakwambia haya ndo maumbo yao. Wamefungasha balaa. Mi nahamia huko tukabanane kwenye maparachichi hivyo hivyo. Na kwa vile napenda kuvaa suti si ajabu hata kanisa nitapewa aisee...Wanyaki hia ai kamu![]()


kwa kweli watu wa huko kama kuna kitu nawakubali basi ni hiko tu, mizigo haswa!






