Kweli kabisa
Yaani kabisa mmeamua kuunganisha nguvu ili kushambulia Wasukuma? Mshindweeee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1823799
Yaani kwenye mboga tunaweka lotion dah! Hii kali sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Nyie nyieeeView attachment 1823887
Wanyaki nakwambia haya ndo maumbo yao. Wamefungasha balaa. Mi nahamia huko tukabanane kwenye maparachichi hivyo hivyo. Na kwa vile napenda kuvaa suti si ajabu hata kanisa nitapewa aisee...Wanyaki hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji16]
Did you wave back or you just barked [emoji16][emoji16][emoji16]
Walimu yaani tunadharaulika lakini mchango wetu ni mkubwa sana!Huyu mwalimu alipata tuzo kutoka shirika la umoja wa mataifa kwa kujitolea kuwaandikia wanafunzi wake program ya Microsoft office ubaoni huko Ghana.Big Up mwalimu kwa mchango wako.View attachment 1823962
(American) Football legends?
Designer alikua Mshana Jr kongole kwakeWapare salute [emoji122][emoji119]
View attachment 1823628