Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

54555d3e5dd3427d8a95d09f225261fc.jpg
 
Hii imetokea Leo kijiji cha Kilomeni Wilaya ya mwanga. Gari husika liliegeshwa bila tahadhari wala hand break. Gari liliserereka umbali wa mita 100 na kuangukia juu ya nyumba. Gari ni mali ya kampuni ya Northern construction ambayo inajihusisha na kujaza mafuta kwenye minara ya simu.
IMG-20210619-WA0052.jpg
 
Back
Top Bottom