Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1624163007795.jpg
 
Nimeona Wasukuma moyo ukanipiga pha! [emoji16][emoji16][emoji16]

On a serious note; huyu mwanafunzi akiruhusiwa kujibu hili swali kwa Kiswahili atatoa jibu safi sana. Watoto karibia dunia nzima wanajifunza kwa kutumia lugha zao za asili isipokuwa tu mtoto wa Afrika. Sad !!!
 
Back
Top Bottom