GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,201
Hapo itakuwa mkeka umechanika.Mi nashauri aachane na vijana, aweke Wazee tu
Hapo itakuwa mkeka umechanika.Mi nashauri aachane na vijana, aweke Wazee tu
Kiti🐷🐖Pilauuuu
Wasukuma hatupumziki kwa nini nyie Wapare tuwapumzishe? Ni kampa kampa Hapa Kazi Tu [emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]Mtupumzishee[emoji16]
Kabila please? [emoji870][emoji870][emoji870][emoji849]View attachment 1823669
Chung Chang Chi kazingirwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Shida yetu ni hawa tunaowapa madaraka. Na mifumo yetu mibovu ya elimu. Sasa tumegeukia kwa Wachina. Tunafanyiwa yale yale tuliyofanyiwa na wazungu. Na zaidi...wala hatujufunzi. Miaka nenda miaka rudi. Inaudhi bro!Facts bro. Tulipewa kila kitu, lakini tukawa wazembe yaani. Ndugu zetu wanapiga akili ya kufa mtu hadi wanatuibia ikizidi lakini hatuoni dadeq. Africa hii wallahi, sijui hadi lini.
Kama msukuma vile[emoji2088][emoji2088][emoji2088]Kabila please? [emoji870][emoji870][emoji870]
Unafikiri huyu jamaa ni kabila gani? Mimi nadhani ni Mnyaki baada ya kuuza maparachichi yake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1823709
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndugu wasukuma watakuja kwa fujo sana kunishambuliaUngemalizia tu kuwa huyo ni ndugu msukuma[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndugu wasukuma watakuja kwa fujo sana kunishambulia
Sahi ni mwendo wa "everyone for him/herself". Ukisema wagojea changes, haha, maybe miracles zikuje sasa.Shida yetu ni hawa tunaowapa madaraka. Na mifumo yetu mibovu ya elimu. Sasa tumegeukia kwa Wachina. Tunafanyiwa yale yale tuliyofanyiwa na wazungu. Na zaidi...wala hatujufunzi. Miaka nenda miaka rudi. Inaudhi bro!
Ajabu sasa. Hata hawa tunaowapa madaraka tukibahatisha mmoja ambaye ni mzalendo akaanza kupambania raslimali zetu, tunaungana na wabaya wetu kumpiga vita na hata kumuua...No hope for us !!!