Ila tuseme ukweli tu mkuu. Sisi kusoma tulichelewa. Mazingira yetu jangwa jangwa wazungu hawakupapenda. Badala yake wakavutiwa na hali ya hewa ya baridi baridi huko Kilimanjaro, Unyakyusani na huko Uhayani. Kama siyo Nyerere kuanzisha utaratibu wa kuchanganya vijana wakati wa boarding school wengi wetu tusingesoma. Imagine mimi O level nilibebwa kutoka Shinyanga na kwenda Iringa halafu A level nikapelekwa Bukoba...
Mambo yameanza kubadilika hata hivyo na sasa tunasoma. Hata ukipita huko vijijini unaweza kuyaona mabadiliko japo safari bado ni ndefu...
Kinachonishangaza ni hawa Wanyaki. Kusoma wamesoma lakini ushamba karibia wanatutoa knockout. Why? Wangekuwa hawajasoma ingekuwaje?
View attachment 1821996