Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unafikiri huyu jamaa ni kabila gani? Mimi nadhani ni Mnyaki baada ya kuuza maparachichi yake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1823709
Sasa hapo ashikwe na tumbo la kuendesha ndio atajua kuwa hata benki zina matawi lakini nyani na ngedere hawayadandii!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
JamiiForums-845107648.jpg

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hawa jamaa walikuwa ni wanariadha huko marekani miaka hiyo 1968 walishiriki mashindano ya Olimpic mji wa Mexico city,mmoja alimaliza wa tatu mwengine wa kwanza.hii picha iliingia kwenye kumbukumbu ya wamarekani weusi kwa kunyenyua kila mmoja mkono huku amekunja ngumu huku wamevaa soksi za mkononi kama ishara ya kupinga uonevu wa watu weusi huko America kama tuonavyo leo Black Lives Matter.mmoja alonyoosha mkono kushoto mwengine mkono wa kulia.kwa sasa sijajua wanaendesha vipi maisha yao ila waliungwa mkono na jumuiya za wanaotetea haki za watu weusi marekani.Pia walicheza American footbal .japo waliporudi marekani walitishiwa sana maisha kwa kitendo chao cha Kuinua ngumi juu kama dharau ya wimbo wa taifa ila kwa wamarekani weusi kilikuwa kama kitendo cha kishujaa.
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
View attachment 1824090
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyu hata Mbeya hatufiki wallahi. Nitamshusha tu humo njiani na kwenda kumbomoa usiku kucha. Halafu mabonge haya yalivyo mapole sasa....mwili soft wa motooo usipokuwa mwangalifu hata dakika mbili humalizi ng'wanawane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom