Nataka nikatafute ka w kangu halafu twende out. Nime strike leo sipiki.Si unajua tena hali ya huku? Hata wengine wamekwenda nje maana hapa kesho ni kazi tu.
Nataka nikatafute ka w kangu halafu twende out. Nime strike leo sipiki.Si unajua tena hali ya huku? Hata wengine wamekwenda nje maana hapa kesho ni kazi tu.
Safi sana
Au mitaa ya kalonga,Zomba,Nkotakota,Chitipa mpaka kamemeLilongwe moja iyo
Anamtega mwenzie mchana kweupe namna hiyo. Duh!
😁😁😁Bwana ww hata kwetu ndanda mbecha mbemba na chilangala tunakula huku, tena wananoga ioooo bah
Maskini hilo tacko litapata tabu sana!!Anamtega mwenzie mchana kweupe namna hiyo. Duh!
Ukitaka uone utamu wa gambe zote hizo awepo na mdudu pembeni aaaahh..