Kitimoto, ndizi au ugali Vs Biriani ya ngamia

Kitimoto, ndizi au ugali Vs Biriani ya ngamia

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,940
Reaction score
4,962
Ulishawai kula hiyo misosi?
vipi msosi upi ulikukosha kwa radha nzuri? (DINI ZISIHUSISHWE)

1788608259297.png
 
Marketing strategy, anyway tag location nitume afisa usafirishaji.
 
Kumbe waarabu weusi wengi(waislam) hawajawai kula kitoweo cha ngamia ila wazungu weusi (wakristo) wamekula na kula sana kitimoto)
 
Lazma huyu 👇 ashinde maana ni haramu na haramu ndo upendwa sana
 

Attachments

  • 1788529913579.jpg
    1788529913579.jpg
    59.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom