[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una ligi?
Choma nyama hii
Huyu alijiandaa kwa chips, kumbe nguna [emoji2] [emoji2]
Chakula hiki kitamu sana
Hii chai sawa
Eee bwana ee nyumbani kabisaa hapa mkuu mshana..[emoji39] [emoji39]
Kati ya hawa wapishi hakosekani msambaa au mdigo hapo