sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,744
- 4,354
Hawa kweli wameona Christmas
Hawa kweli wameona Christmas
Wanapenda mapishi sana
vijana wa pep a.k.a wenyejiji..na msimu huu lazima tulichukue hata iweje
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]. Bora umemuuliza.
Hahaaa. Huwa hatuna utani kwenye kupika aisee.Naam maana sikujua jibu litakuwaje ila jikoni mmejaliwa siyo siri. Mzima weye?
Hahaaa. Huwa hatuna utani kwenye kupika aisee.
Mie sijambo kabisa namshukuru Allah.
Shukrani sana. Amiin.Hongereni kwa hilo mko vizuri. Nafurahi kusikia uko bomba Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana.
Sio picha ya Museven utotoni kweli hii!!!![emoji12]