ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,509
- 57,091
Harufu ya mishikaki inatoka mwilini sababu ya msuguano na joto, alafu kwa taarifa yako sasa hata wadudu wenyewe huku wamezoea, wakikuona unaingia kichakani wanakimbia wenyewe.Hiyo harufu ya mishkaki inatokea wapi tena na wadudu hamuwaogopi kabisa
