Vituko mikoani

Vituko mikoani

Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano kwenye ishu ya mahusiano mikoani wengi humalizana vichakani na maporini.Gesti huko sio nyingi kivile

Hii inaweza isiwe Tanzania lakini ni kiwakilishi chake
Mikoani si jambo la ajabu kukuta gesti house ndani choo cha shimo. Kesi za watu kuumwa na wadudu porini wakiwa kwenye malovee ni za kawaida sana
Mikoani watu wakiumwa cha kwanza hawaendi hospital bali kwa waganga wa kienyeji.

Visa vya mikoani vinaweza kupiku dar.. Ni aghalabu kukuta breakdown mikoani... Hiki ndio unaweza kukutana nachoView attachment 684535
Visa vya mikoani vinaweza kuwa kwenye makundi

Tanga... Wanasema mapenzi yalikozaliwa... Hakuna mkoa unaoogopeka kwa mapenzi, ushirikina wa ndele na mvuto kama Tanga... Story za wapenzi majini... Vifuu vunavyoongea ama wanyama.. Story za kubashiwa live nknk... Umeshawahi kusikia ya mwembe basha?
Tanga inaweza kuwa kiwakilishi cha pwani yote mpaka Zenji kwenye mitaa kama mfereji matako , kibanda maiti nk
Ngoma maarufu ya baikoko asili yake Tanga

Kilimanjaro na Arusha... Wazee wa arifu... Pesa ndio kila kitu huko.. Kuna mixer ya wamasai wapare wachaga wambulu nk... Wezi, bahili wachumi wasomi... Huku kuna sensa ya kila mwaka December... Mtu yuko tayari ajinyime mwaka mzima ili akaonyeshe sifa kwao.. Ni wapenda sifa na maendeleo pia... Vipi ushamba?
Moshi kuna mitaa kama kisambo (kisa mbo*..)?

Mikoa mingine karibuni sana.. Hasa ile inayosifika kwa kupenda rangi... Sifa! Ubabe.. Ukatili.. Uchawi... Umbea.. Majungu... Fitina... Nknk
picha namba 1 na 2 kiboko, tudese. mshana jr baba.
 
hivi kwanini haijawahi kusikika mtu kung'atwa na nyoka porini akiwa anachimba dawa??nahisi nyoka akiona kalio linashuka chini kwenye majani anaona kama anapigwa rungu la kipepe anatoka nduki mwenyewe
 
Aisee,
Mwembe basha nasikia ni noma.
Kivuli chake kitamu balaa.
Sijawahi fika lakini.

Ila ukipita mchana hapo utaamua kujipumzisha kwenye kakivuli katamu na kaupepo ka huo mwembe.

Ukipimzika tu na kausingizo mwororo hapo hapo.

Ukiamka popobawa washafanya yao zamanii.

Na kesho lazima utan'gan'gania kwenda tena.
Ushakuwa punga bila kujijua
 
5abfd4a697c66e70ea2b2431f540f4c0.jpg
 
Mwembe basha,mto ngono,bonde matako hayo maeneo nahisi sio tanzania labda japan kwa kina kumamoto au takosafi huko japani
 
Back
Top Bottom