Vituko mikoani

Vituko mikoani

Mkoa wa Mara ndio mkoa pekee ambao upendo huonyeshwa kwa vipigo... Ni mkoa pekee ambao karibu kila nyumba haikosi mtuhumiwa wa mauaji na ndio mkoa pekee wenye death rate kubwa kutokana na kuuana... Kule ni MURA VITA NI VITA MURA
Siyo mkoa wa Mara kiujumla mkuu ni Wilaya ya Tarime tu ndo ina visa ivyo na ilo ni kabira la wakurya.. Mara kuna makabira mengi ila wakurya ndo wana visa ivyo hapo ulivyovitaja
 
Kuna wakati hasa ule wa miezi ya tatu hivi ukiwa na sh 4000 we ni nusu mfalme, kipindi hicho ulanzi unauzwa sh 200 lita moja na sh 300 lita 2.
Basi bwana ukiwa na kiwango hicho cha pesa unaweza ng'oa mrembo mzuri kabisa na hapo hesabu za guest hazipigwi, ni mwendo wa kuingia kwenye mahindi marefu. Hapa watu wa Ulayasi, Mkiu, Masimbwe lazima wanielewe.
Nadhani hii ni Njombe au Ludewa
 
5c70de008ce61165b47260e26e20a097.jpg


Dada @Mzigua90 nani kakuuzi?
Sitaki uchokozi leo weekend ujue
 
Back
Top Bottom