Vituko mikoani

Vituko mikoani

d6271f08de6a467e615fc550cad8948d.jpg

b8f5b0aec787773af8143d8b4458e5cf.jpg

ac072f61505196aafbaadd95a86dec76.jpg
Dah post ya mikoani ni mwendo wa picha tuu
 
Aisee,
Mwembe basha nasikia ni noma.
Kivuli chake kitamu balaa.
Sijawahi fika lakini.

Ila ukipita mchana hapo utaamua kujipumzisha kwenye kakivuli katamu na kaupepo ka huo mwembe.

Ukipimzika tu na kausingizo mwororo hapo hapo.

Ukiamka popobawa washafanya yao zamanii.

Na kesho lazima utan'gan'gania kwenda tena.
Ushakuwa punga bila kujijua
 
Back
Top Bottom