Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Nimekumbuka siku moja nilienda congo tukiwa na kiroba cha mchela, unga, jiko ili hata tukiwa njiani tunaweza kuwasha jiko na kujipikia kule misosi ni shida sana kupata chakula kizuri, tukiwa njiana tupo ndani ya pori za congo tukakutana na wanajeshi wakatusimamisha walikuwa na mashine (bunduki) hapa nikajisemea moyoni hapa ndiyo mwisho wangu wa kuishi wale wanajeshi wakatupiga ukaguzi walipo kuta tuna jiko, pale pale wakawa marafiki zetu, wakatuambia wanaskia njaa tukawasha jiko tukapika msosi, wale wanajeshi walikuwa wanataka tuwape kiroba cha uga watupe smg dah, nilichoka na roho yangu, tukawapa unga kiroba kimoja, sijui walienda kukipeleka wapi

Congo kuna mijamaa mivivu balaa, ile nchi kama ilelogwa
Dah Mku mbona hujasema kama mlichukua SMG?
 
Kwa sifa hizi,
Nataka kwenda Congo.

Guys hebu tupeni maeneo mazuri ya kuvinjari kama mtu akienda kwa mapumziko, mji gani mzuri, hotel, nakadhalika maana hiyo Nchi sijawahi kuifatilia sababu ya vita.
 
Nili soma na binti wa kikongo, kujichubua na kujiremba wanapenda sana, wao wako radhi wasile vizuri mwezi mzima lakini amebeba designer handbag inayo match na wallet na viatu vya designer huyo huyo.
Alinikaribisha chakula nilishindwa kula. Ladha mmh.
Usafi wa ndani na kupangilia nyumba ni first class
Wanapenda kufanya vitu ili watu wawaone.
Binti Eclat katika ubora wake. Anyway kaka yako Bashite anaendeleaje huko Sero ndogo?
 
Mkuu uko mji gani huko?? Me nmekaa Lubumbashi takriban miezi sita. Nilichoona ni kwamba Wakongo wanathamini USD kuliko Faranga lakini kizuri zaidi unaweza kwenda dukani ukiwa na USD ukapata huduma bila taabu na ukaamua kuchukua change ya USD au mixer na Faranga au Faranga peke yake au USD peke yake.
Pia ukiwa Congo Kumbuka kutenbea na passport yako hata Kama unatoka nje ya gate la hotel uliyofikia.
Kingine ni kwamba Askari akikumata kwa kosa lolote faini yao inaanzia USD 100 but mnaweza kubagain hadi kufikia USD 5 au hata chochote ulichonacho maana wana njaa sana.
Pia ukiumwa ukiwa Congo kuwa makini usitumie Dawa ovyo nenda hospital kubwa waambie kabisa we sio mkongo watajua namna gani ya kukutibu maana dawa zao zina nguvu sana kwani hawana ndui Kama sisi.
Kumbuka pia ukimchukua demu hakikisha unamlipa Kama mlivyokubaliana la sivyo utaishia kituo cha polisi na faini isiyopungua USD 200, take care on that mkuu.
Nini faida ya ndui katika kinga
 
Mbongo na ngai yamotema bokiloso kolo
Mobimba na te ya muntu Ba Congo nangai yoso
 
Back
Top Bottom