Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Kwa Africa TZ tuna afadhali kwenye ustaarabu kuanzia vyakula, makazi, malazi hadi vyakula. Sisemi sisi tupo mbali sana ila tuna angalau, nchi Kama Congo au kule West Africa ni hovyo sana, ukienda mbongo unaweza shindwa kula kabisa Kama alivyosema mleta mada. Wao wanakula kila aina ya chakula nyani, nyoka, mbwa, popo, vyura nk. Kuna ugumu wa maisha wa kupindukia, bongo vyuma vimekaza huko vinakutu kabisa.

Congo unaweza fika sehemu ukadhani upo nchi nyingine kabisa, nchi yao kubwa sana ni vigumu serikali kuisimamia kwa urahisi hasa kwa mazingira yetu ya Africa.
Mbona Russia n kubwa sana n.a. Iko poa sanaa
 
Ukitoa Kenya kwa Afrika Mashariki basi hakuna nchi kama Congo inayo wapenda wabongo. Na Kenya ni vile tu kuna ukabila ndio maana inakuwa hivyo ila wako poa sana. Ila Congo ni balaa wanawapenda wabongo we acha tu.
mi naona wakenya tuwaweke namba mbili, namba moja achukue mkongo.
 
Well to be perfectly honest, in my humble opinion, of course without offending. anyone who thinks differently from my point of view, but also by looking into this matter in a different perspective and without being condemninng of one's view's and by trying to make it objectified, and by considering each and every one's valid opinion, I honestly believe that I completely forgot what I was going to say.
 
hivi Russia ni nchi au muunganiko kama jamuhuri?
Russia ni nchi moja mkuu; ilipokua muunganiko wa jamhuri iliitwa USSR ikiwa na nchi kama Ukraine, Croatia, Kazakhstan etc. Kwa sasa ni nchi moja tu Russia.
 
Well to be perfectly honest, in my humble opinion, of course without offending. anyone who thinks differently from my point of view, but also by looking into this matter in a different perspective and without being condemninng of one's view's and by trying to make it objectified, and by considering each and every one's valid opinion, I honestly believe that I completely forgot what I was going to say.
Kamsaidie na JIWE atashukuru sana
 
Mi nilienda Ug wiki mbili nilipungua kilo 7 kula labda nile chips kuku nikachokaa
Kipande kipi cha UG? Mbona Kampala kuna restaurant nyingi nzuri wanapika pilau matata.. na kuna nyama choma amazing.......
 
Well to be perfectly honest, in my humble opinion, of course without offending. anyone who thinks differently from my point of view, but also by looking into this matter in a different perspective and without being condemninng of one's view's and by trying to make it objectified, and by considering each and every one's valid opinion, I honestly believe that I completely forgot what I was going to say.
😀😀😀
 
Kwa upande wa mazingira ni kama nyumbani tu.
Uvaaji nao pia ni kama nyumbani vile vile palivyo Dar ndo palivyo mji wowote Congo.
Kwa upande wa maduka pia ni hivyo hivyo, sema kwa upande vyakula wapo chini sana, ukisema nipeleke sehemu ya chakula asilimia kubwa utapelekwa bar.
Na la mwisho kuhusu kutoboa pua na vichuma kwa hapo kwa mimi binafsi sijawaona, ila nahisi wapo sana tu.
Ukiangalia maisha tunayoishi Tanzania ndo maisha wanayoishi Congo, Burundi, Kenya na Rwanda pia kasoro lugha tu.
Mkuu hawa jamaa hawako aggressive sana maana mambo yao ya kukaa mistuni na RPG???

Au wingi wa silaha mitaani??
Maana kuna jamaa aliwahi niambi eti congo kalibia kila nyumba kuna bunduki
 
Back
Top Bottom