Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Russia ni nchi moja mkuu; ilipokua muunganiko wa jamhuri iliitwa USSR ikiwa na nchi kama Ukraine, Croatia, Kazakhstan etc. Kwa sasa ni nchi moja tu Russia.
Mkuu labda hizo mbili Croatia ilikuwa sehemu ya Yugoslavia
 
Well to be perfectly honest, in my humble opinion, of course without offending. anyone who thinks differently from my point of view, but also by looking into this matter in a different perspective and without being condemninng of one's view's and by trying to make it objectified, and by considering each and every one's valid opinion, I honestly believe that I completely forgot what I was going to say.
[emoji23][emoji23]
Screenshot_20180506-094732.jpg

C&P!!! [emoji23][emoji23]
 
Habari za majukumu wakuu.

Tangu nisafiri kuja Congo kuna mambo fulani ambayo nimejaribu kuona kwa macho yangu mengine kwa hisia tu.
Pia kuna baadhi ya mambo ambayo nimeyafanyia utafiti mdogo na baada ya hapo nikajiridhisha kwa vitendo.
Ngoja niweke ambayo nilijionea mwenyewe:-

1. Ukiwa Mtanzania utalala na wengi:
Hapa nazungumzia kwa wale wenzangu nami wanaependa kuserereka na totoz, yaani ni kwamba wanapoona unazungumza kiswahili fasaha hujipendekeza na kuwa na wewe karibu.
Hauna haja ya kuanza kutingoza mda mrefu ni kuomba namba ya sim na mengine yatajileta yenyewe.

2. Kuna wadada wazuri mno ila wengi ni makahaba:
Hapa sijajua sababu kuu ni ipi ambayo inapelekea wadada wazuri wanapenda kazi hiyo.
Unapishana na wadada kama watatu wanne utakaemkuta usiumize kichwa chukua twende.

3. Boda boda nyingi:
Yaani kuna boda boda nyingi kuliko nchi zingine zote za afrika.
Hapa naweza kusema kumechangiwa na wingi wa watu wenyewe na nchi yenyewe ilivyo kubwa.

4. Chakula safi ni shida:
Kwa Mtanzania ambae umezoea vitu vizuri vizuri kwe 'restaurants' za Tz basi kwa huko utazunguka sana mwisho was siku utaambulia ugali (bada).
Chapati zao sio nzuri hawajui kupika supu hata samaki was kwao.
Siku Mtz akijitokeza kupika pilau au biriani basi ataondoka na utajiri usio na kifani.

5. Wanapenda kujichubua sana:
Kwao ni vitu vya kawaida na imeonekana 'fashion' kufanya hivyo mafuta yanayokatazwa Tz, Congo yapo sokoni.

6. Wanathamini dola kuliko hela ya kwao:
Yaani kila duka utakalotembelea ni dola dola hadi unachoka mwenyewe.
Sio kwamba hela ya kwao hawatumii, la hasha! Wanatumia sana ila dola ndo kila kitu mijini na vijijini.

7. Kiswahili wanakipenda sana:
Mara nyingi wanapenda kuongea kiswahili kuliko kilingala na kizulu. Hata kama utawakuta wapo wenyewe wanaongea lakini lazima waingize kiswahili.
Kiswahili walikipenda sana ila kifaransa kiliwapenda zaidi.

8. Pombe ni nyingi sana kuliko maji safi ya kunywa.
Hapa kila kona utakayozunguka utakuna na pombe aina ya bia zimesheheni, lakini ukija kwa upande wa maji ya kunywa sio mengi.

Kwa leo niishie hapo maana kuna mengine nimeyasahau ila kama kuna mtu ambae anafaham zaidi anaweza kujazia nyama.
Vipi kuhusu ngada,unga aka sembe?
 
Hata kapicha ka watt wakali mkuu?
 
Nmecheka sana wakat nasoma hii post[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nili soma na binti wa kikongo, kujichubua na kujiremba wanapenda sana, wao wako radhi wasile vizuri mwezi mzima lakini amebeba designer handbag inayo match na wallet na viatu vya designer huyo huyo.
Alinikaribisha chakula nilishindwa kula. Ladha mmh.
Usafi wa ndani na kupangilia nyumba ni first class
Wanapenda kufanya vitu ili watu wawaone.

Sky Eclat nafikiri unamaanisha Wema Sepetu.
 
Umesahau jamaa wanapenda sana kuoga ila hawa jamaa kwa kazi za mikono za kutumia nguvu ni kama wamasai tu ni wavivu kupitiliza wao ni kuimba na kukata mayenu(kunengua)

Unataka kutuambia Mose Iyobo ni Mcongo? Ngoja nimuulize Aunt Ezekiel.
 
Lubumbashi mmsai haruhusiwi kuvaa nguo zao za asili ,wako lkn hukuti wamevaa mashuka yao ,sijui kwann
 
Bila kusahau kuna kitu kimoja ambacho kipo baadhi ya maeneo. Ni kwamba mdada akiwa na chura analipia kodi maana biashara yake haichachi.
 
Nimekumbuka siku moja nilienda congo tukiwa na kiroba cha mchela, unga, jiko ili hata tukiwa njiani tunaweza kuwasha jiko na kujipikia kule misosi ni shida sana kupata chakula kizuri, tukiwa njiana tupo ndani ya pori za congo tukakutana na wanajeshi wakatusimamisha walikuwa na mashine (bunduki) hapa nikajisemea moyoni hapa ndiyo mwisho wangu wa kuishi wale wanajeshi wakatupiga ukaguzi walipo kuta tuna jiko, pale pale wakawa marafiki zetu, wakatuambia wanaskia njaa tukawasha jiko tukapika msosi, wale wanajeshi walikuwa wanataka tuwape kiroba cha uga watupe smg dah, nilichoka na roho yangu, tukawapa unga kiroba kimoja, sijui walienda kukipeleka wapi

Congo kuna mijamaa mivivu balaa, ile nchi kama ilelogwa
Huwezi jua walikua wanawajaribisha mngeingia kingi,mngepukutwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom