Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Wanawake wa Congo siyo wazuuuri km unavyosema,
Sema wanajipodoa kupitiliza,
Suala la kiswahili ni kweli maana nimewahi Fanya daladala nzima ikanyamaza sababu tu nilivyokuwa nataka Maelezo ya konda,
Kuhusu vyakula ni kweli hovyo kabisa,niliwahi kula kichwa cha mbuzi kilichopondwa pondwa wakachanganya na kisamvu,
Wanawake wao wanaongea sana,wanamidomo mno,
Mkuu mji gani hasa umerenga
Mkuu najua uzuri na kujipodoa tatizo hujaonana nao au unaowaona wewe ni wale wa mpakani.
 
mkuu umesahau moja ukikutana na waasi wanakugeuza mke
 
Habari za majukumu wakuu.

Tangu nisafiri kuja Congo kuna mambo fulani ambayo nimejaribu kuona kwa macho yangu mengine kwa hisia tu.
Pia kuna baadhi ya mambo ambayo nimeyafanyia utafiti mdogo na baada ya hapo nikajiridhisha kwa vitendo.
Ngoja niweke ambayo nilijionea mwenyewe:-

1. Ukiwa Mtanzania utalala na wengi:
Hapa nazungumzia kwa wale wenzangu nami wanaependa kuserereka na totoz, yaani ni kwamba wanapoona unazungumza kiswahili fasaha hujipendekeza na kuwa na wewe karibu.
Hauna haja ya kuanza kutingoza mda mrefu ni kuomba namba ya sim na mengine yatajileta yenyewe.

2. Kuna wadada wazuri mno ila wengi ni makahaba:
Hapa sijajua sababu kuu ni ipi ambayo inapelekea wadada wazuri wanapenda kazi hiyo.
Unapishana na wadada kama watatu wanne utakaemkuta usiumize kichwa chukua twende.

3. Boda boda nyingi:
Yaani kuna boda boda nyingi kuliko nchi zingine zote za afrika.
Hapa naweza kusema kumechangiwa na wingi wa watu wenyewe na nchi yenyewe ilivyo kubwa.

4. Chakula safi ni shida:
Kwa Mtanzania ambae umezoea vitu vizuri vizuri kwe 'restaurants' za Tz basi kwa huko utazunguka sana mwisho was siku utaambulia ugali (bada).
Chapati zao sio nzuri hawajui kupika supu hata samaki was kwao.
Siku Mtz akijitokeza kupika pilau au biriani basi ataondoka na utajiri usio na kifani.

5. Wanapenda kujichubua sana:
Kwao ni vitu vya kawaida na imeonekana 'fashion' kufanya hivyo mafuta yanayokatazwa Tz, Congo yapo sokoni.

6. Wanathamini dola kuliko hela ya kwao:
Yaani kila duka utakalotembelea ni dola dola hadi unachoka mwenyewe.
Sio kwamba hela ya kwao hawatumii, la hasha! Wanatumia sana ila dola ndo kila kitu mijini na vijijini.

7. Kiswahili wanakipenda sana:
Mara nyingi wanapenda kuongea kiswahili kuliko kilingala na kizulu. Hata kama utawakuta wapo wenyewe wanaongea lakini lazima waingize kiswahili.
Kiswahili walikipenda sana ila kifaransa kiliwapenda zaidi.

8. Pombe ni nyingi sana kuliko maji safi ya kunywa.
Hapa kila kona utakayozunguka utakuna na pombe aina ya bia zimesheheni, lakini ukija kwa upande wa maji ya kunywa sio mengi.

Kwa leo niishie hapo maana kuna mengine nimeyasahau ila kama kuna mtu ambae anafaham zaidi anaweza kujazia nyama.
Ama! kumbe watanzania wote wanajua kupika chapati na supu! Nashauri uhamiaji watumie njia hii kuwatambua wahamiaji haramu, Ila naona wanyakyusa wote watafukuzwa nchini.
 
Lavie est belle
Congo,bongo [emoji23][emoji23][emoji23] ni sehemu ambapo starehe inaendekezwa mno ,yani haya mataifa ni baba na baba mdogo...
wanatupenda na sisi tunawapenda.
mimi mwenyewe nawapenda kweli wacongo wakikatika najiulizaga hivi wanapiganaga akina nani na saa ngapi
 
Habari za majukumu wakuu.

Tangu nisafiri kuja Congo kuna mambo fulani ambayo nimejaribu kuona kwa macho yangu mengine kwa hisia tu.
Pia kuna baadhi ya mambo ambayo nimeyafanyia utafiti mdogo na baada ya hapo nikajiridhisha kwa vitendo.
Ngoja niweke ambayo nilijionea mwenyewe:-

1. Ukiwa Mtanzania utalala na wengi:
Hapa nazungumzia kwa wale wenzangu nami wanaependa kuserereka na totoz, yaani ni kwamba wanapoona unazungumza kiswahili fasaha hujipendekeza na kuwa na wewe karibu.
Hauna haja ya kuanza kutingoza mda mrefu ni kuomba namba ya sim na mengine yatajileta yenyewe.

2. Kuna wadada wazuri mno ila wengi ni makahaba:
Hapa sijajua sababu kuu ni ipi ambayo inapelekea wadada wazuri wanapenda kazi hiyo.
Unapishana na wadada kama watatu wanne utakaemkuta usiumize kichwa chukua twende.

3. Boda boda nyingi:
Yaani kuna boda boda nyingi kuliko nchi zingine zote za afrika.
Hapa naweza kusema kumechangiwa na wingi wa watu wenyewe na nchi yenyewe ilivyo kubwa.

4. Chakula safi ni shida:
Kwa Mtanzania ambae umezoea vitu vizuri vizuri kwe 'restaurants' za Tz basi kwa huko utazunguka sana mwisho was siku utaambulia ugali (bada).
Chapati zao sio nzuri hawajui kupika supu hata samaki was kwao.
Siku Mtz akijitokeza kupika pilau au biriani basi ataondoka na utajiri usio na kifani.

5. Wanapenda kujichubua sana:
Kwao ni vitu vya kawaida na imeonekana 'fashion' kufanya hivyo mafuta yanayokatazwa Tz, Congo yapo sokoni.

6. Wanathamini dola kuliko hela ya kwao:
Yaani kila duka utakalotembelea ni dola dola hadi unachoka mwenyewe.
Sio kwamba hela ya kwao hawatumii, la hasha! Wanatumia sana ila dola ndo kila kitu mijini na vijijini.

7. Kiswahili wanakipenda sana:
Mara nyingi wanapenda kuongea kiswahili kuliko kilingala na kizulu. Hata kama utawakuta wapo wenyewe wanaongea lakini lazima waingize kiswahili.
Kiswahili walikipenda sana ila kifaransa kiliwapenda zaidi.

8. Pombe ni nyingi sana kuliko maji safi ya kunywa.
Hapa kila kona utakayozunguka utakuna na pombe aina ya bia zimesheheni, lakini ukija kwa upande wa maji ya kunywa sio mengi.

Kwa leo niishie hapo maana kuna mengine nimeyasahau ila kama kuna mtu ambae anafaham zaidi anaweza kujazia nyama.

Nfkr lubumbashi hyo?
 
Kwa Africa TZ tuna afadhali kwenye ustaarabu kuanzia vyakula, makazi, malazi hadi vyakula. Sisemi sisi tupo mbali sana ila tuna angalau, nchi Kama Congo au kule West Africa ni hovyo sana, ukienda mbongo unaweza shindwa kula kabisa Kama alivyosema mleta mada. Wao wanakula kila aina ya chakula nyani, nyoka, mbwa, popo, vyura nk. Kuna ugumu wa maisha wa kupindukia, bongo vyuma vimekaza huko vinakutu kabisa.

Congo unaweza fika sehemu ukadhani upo nchi nyingine kabisa, nchi yao kubwa sana ni vigumu serikali kuisimamia kwa urahisi hasa kwa mazingira yetu ya Africa.
nmecheka jamani vyuma vina kutu[emoji23]
 
Wanawake wa Congo siyo wazuuuri km unavyosema,
Sema wanajipodoa kupitiliza,
Suala la kiswahili ni kweli maana nimewahi Fanya daladala nzima ikanyamaza sababu tu nilivyokuwa nataka Maelezo ya konda,
Kuhusu vyakula ni kweli hovyo kabisa,niliwahi kula kichwa cha mbuzi kilichopondwa pondwa wakachanganya na kisamvu,
Wanawake wao wanaongea sana,wanamidomo mno,
Mkuu mji gani hasa umerenga
kichwa cha mbuzi kimepondwa pondwa kikawekwa na kisamvu[emoji26]oh my God.... kuna japo KFC? migahawa ya intrnational labda maana hio vyakula ni shida
 
Back
Top Bottom