Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
- Thread starter
- #461
Sikuombi...Naomba uniombe radhiii
Sikuombi...Naomba uniombe radhiii
Kwa mfano ingekua wewe ndo tunachat ungehisikiaje kuweka picha yako???We mwongooo
Weka basi picha yake nimuone huyo demu
Asante sana kwa kuongezea nyama,, lakini hapo pakutembea na passport kila wakati labda huko ulikokuwa wewe.Mkuu uko mji gani huko?? Me nmekaa Lubumbashi takriban miezi sita. Nilichoona ni kwamba Wakongo wanathamini USD kuliko Faranga lakini kizuri zaidi unaweza kwenda dukani ukiwa na USD ukapata huduma bila taabu na ukaamua kuchukua change ya USD au mixer na Faranga au Faranga peke yake au USD peke yake.
Pia ukiwa Congo Kumbuka kutenbea na passport yako hata Kama unatoka nje ya gate la hotel uliyofikia.
Kingine ni kwamba Askari akikumata kwa kosa lolote faini yao inaanzia USD 100 but mnaweza kubagain hadi kufikia USD 5 au hata chochote ulichonacho maana wana njaa sana.
Pia ukiumwa ukiwa Congo kuwa makini usitumie Dawa ovyo nenda hospital kubwa waambie kabisa we sio mkongo watajua namna gani ya kukutibu maana dawa zao zina nguvu sana kwani hawana ndui Kama sisi.
Kumbuka pia ukimchukua demu hakikisha unamlipa Kama mlivyokubaliana la sivyo utaishia kituo cha polisi na faini isiyopungua USD 200, take care on that mkuu.
Hilo la passport hata mie muda wote nipo huku sijawahi ulizwa, inawezekana kipindi alichomuwepo yeye Kulikuwa na kampeni ya kusaka wahamihaji haramuAsante sana kwa kuongezea nyama,, lakini hapo pakutembea na passport kila wakati labda huko ulikokuwa wewe.
Mimi sijawahi na sitowahi kutembea nayo maana nafaham inatumika unapotoka na kuingia ndani ya nchi.
Yanini nijipe shida??? Wakinikamata kama hawaniamini tunafatana naenda kuwaonesha na hilo ni jukumu la uhamiaji na kumbu kumbu zinakuwepo kwenye computer hata usipowaonyesha passport.
Mbona mi sijawaona mapunga hukoKuna wakati nilikuwa napeleka mpunga huko. Mashoga pia ni wengi sana wanajipitisha pitisha panapopaki malori
Poa hamna noma.Mbona mi sijawaona mapunga huko
Asante sana kwa kuongezea nyama,, lakini hapo pakutembea na passport kila wakati labda huko ulikokuwa wewe.
Mimi sijawahi na sitowahi kutembea nayo maana nafaham inatumika unapotoka na kuingia ndani ya nchi.
Yanini nijipe shida??? Wakinikamata kama hawaniamini tunafatana naenda kuwaonesha na hilo ni jukumu la uhamiaji na kumbu kumbu zinakuwepo kwenye computer hata usipowaonyesha passport.
Yaani swali lako ni sawa na kuniuliza nasikia Tanga ukipata mwanamke haurudi siku hiyo hiyo hata kama umepanga itakubidi ulale eti ni kweli?Nackia huko kuna vita, wanaishije sasa? VP milipuko huogopi? Natamani kwenda Kinshasa na Lubumbashi ila naogopa M23 na Banyamulenge. Nihakikishie kama wapo au LA? Pia niambie kama naweza pata ndege hapa bongo kwenda direct hiyo miji 2 tokea Dar
Je hupati hofu kuvamiwa?Ndo nazidi kuzunguka nimuone mkuu.
Hapana mkuu hawa viumbe wa Congo unatakiwa uishi nao kwa akili sana maana mda wote hawacheleweshi kuliamsha dude.Samahan Mkuu, vita na insecurity wa ujumla mtaani vipi
Je hupati hofu kuvamiwa?
Habari za majukumu wakuu.
Tangu nisafiri kuja Congo kuna mambo fulani ambayo nimejaribu kuona kwa macho yangu mengine kwa hisia tu.
Pia kuna baadhi ya mambo ambayo nimeyafanyia utafiti mdogo na baada ya hapo nikajiridhisha kwa vitendo.
Ngoja niweke ambayo nilijionea mwenyewe:-
1. Ukiwa Mtanzania utalala na wengi:
Hapa nazungumzia kwa wale wenzangu nami wanaependa kuserereka na totoz, yaani ni kwamba wanapoona unazungumza kiswahili fasaha hujipendekeza na kuwa na wewe karibu.
Hauna haja ya kuanza kutingoza mda mrefu ni kuomba namba ya sim na mengine yatajileta yenyewe.
2. Kuna wadada wazuri mno ila wengi ni makahaba:
Hapa sijajua sababu kuu ni ipi ambayo inapelekea wadada wazuri wanapenda kazi hiyo.
Unapishana na wadada kama watatu wanne utakaemkuta usiumize kichwa chukua twende.
3. Boda boda nyingi:
Yaani kuna boda boda nyingi kuliko nchi zingine zote za afrika.
Hapa naweza kusema kumechangiwa na wingi wa watu wenyewe na nchi yenyewe ilivyo kubwa.
4. Chakula safi ni shida:
Kwa Mtanzania ambae umezoea vitu vizuri vizuri kwe 'restaurants' za Tz basi kwa huko utazunguka sana mwisho was siku utaambulia ugali (bada).
Chapati zao sio nzuri hawajui kupika supu hata samaki was kwao.
Siku Mtz akijitokeza kupika pilau au biriani basi ataondoka na utajiri usio na kifani.
5. Wanapenda kujichubua sana:
Kwao ni vitu vya kawaida na imeonekana 'fashion' kufanya hivyo mafuta yanayokatazwa Tz, Congo yapo sokoni.
6. Wanathamini dola kuliko hela ya kwao:
Yaani kila duka utakalotembelea ni dola dola hadi unachoka mwenyewe.
Sio kwamba hela ya kwao hawatumii, la hasha! Wanatumia sana ila dola ndo kila kitu mijini na vijijini.
7. Kiswahili wanakipenda sana:
Mara nyingi wanapenda kuongea kiswahili kuliko kilingala na kizulu. Hata kama utawakuta wapo wenyewe wanaongea lakini lazima waingize kiswahili.
Kiswahili walikipenda sana ila kifaransa kiliwapenda zaidi.
8. Pombe ni nyingi sana kuliko maji safi ya kunywa.
Hapa kila kona utakayozunguka utakuna na pombe aina ya bia zimesheheni, lakini ukija kwa upande wa maji ya kunywa sio mengi.
Kwa leo niishie hapo maana kuna mengine nimeyasahau ila kama kuna mtu ambae anafaham zaidi anaweza kujazia nyama.
Kizulu nilichanganya tuachane nayo hayo, nilifikia Goma.Mkuu safi sana lakini Congo ya wapi hii uliyofika Kongo kubwa sana!! Halafu kwenye kipengele namba 7 unasema sio sana Kilingala na Kizulu ina maana Kongo wanongea Kizulu??
nitakufata PMKizulu nilichanganya tuachane nayo hayo, nilifikia Goma.
Ahaahaaahaa njaaa ya wanajesh!!!Nimekumbuka siku moja nilienda congo tukiwa na kiroba cha mchela, unga, jiko ili hata tukiwa njiani tunaweza kuwasha jiko na kujipikia kule misosi ni shida sana kupata chakula kizuri, tukiwa njiana tupo ndani ya pori za congo tukakutana na wanajeshi wakatusimamisha walikuwa na mashine (bunduki) hapa nikajisemea moyoni hapa ndiyo mwisho wangu wa kuishi wale wanajeshi wakatupiga ukaguzi walipo kuta tuna jiko, pale pale wakawa marafiki zetu, wakatuambia wanaskia njaa tukawasha jiko tukapika msosi, wale wanajeshi walikuwa wanataka tuwape kiroba cha uga watupe smg dah, nilichoka na roho yangu, tukawapa unga kiroba kimoja, sijui walienda kukipeleka wapi
Congo kuna mijamaa mivivu balaa, ile nchi kama ilelogwa