Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Yaan wanaume wa kongo wazuri kuliko watz ningembishia mpakaaa wale wanaume wao wanaojipodoa kama wanawake wanajichubua ndo wazurii ,,umeona kuna mtu anasema wanakikata kisamvu kama mchicha anaweka na kunde anapika
Matoke na Katogo zilikushinda kabisa[emoji28] [emoji28]
 
Hivi huko kuna musician wakitanzania wanaofanya kazi ya music huko Congo kama kina Bella huku kwetu?
 
Yes ndo ya kwanza duniani kwa raslimali,dini lolote,mafuta,gas,udongo, nk takataka zote zitakiwazo duniani ziko Kongo. Wabongo tulinyimwa uwezo wa kubuni au kujiongeza kuhusu fursa tungetumia Bandar yetu kwa maslai ya kibiashara na Congo tungekuwa mbali sana.

Tungekua mbali sana.
 
Haya mama Sabrina uliza maswali yako sasa maana mda ule nilikua na mengi kichwani niliona kama unanizingua.
We umetusaliti unawanjunju haoo
Nauliza nyama ya mbwa ulikula
Vipi kuhusu usalama maana mnasema police wenyewe wakijua una pesa wanaweza kukuvamia
 
We umetusaliti unawanjunju haoo
Nauliza nyama ya mbwa ulikula
Vipi kuhusu usalama maana mnasema police wenyewe wakijua una pesa wanaweza kukuvamia
Kwani unataka kuwambia kama una pesa?
Ishu ni kwamba ukitaka kufanya matumizi usiweke pesa sehemu moja (wallet) tenganisha maana anaeza dili ni raia wenyewe.
Nafikiri umenisoma, kuhusiana na nyama ya mbwa sijui kama ndo nilikula au ni ya ng'ombe? Mungu ndo ajuwae, tuachane nayo hayo maana ndo nilishakula na siwezi ku rewind mkanda.
 
Ahahahah polee aiseee
 
Nili soma na binti wa kikongo, kujichubua na kujiremba wanapenda sana, wao wako radhi wasile vizuri mwezi mzima lakini amebeba designer handbag inayo match na wallet na viatu vya designer huyo huyo.
Alinikaribisha chakula nilishindwa kula. Ladha mmh.
Usafi wa ndani na kupangilia nyumba ni first class
Wanapenda kufanya vitu ili watu wawaone.
sio mabint hata kakazao akili zimekalia kuwaza dressing table na poudaaa
 
Back
Top Bottom