Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,340
- 30,744
Kwa Africa TZ tuna afadhali kwenye ustaarabu kuanzia vyakula, makazi, malazi hadi vyakula. Sisemi sisi tupo mbali sana ila tuna angalau, nchi Kama Congo au kule West Africa ni hovyo sana, ukienda mbongo unaweza shindwa kula kabisa Kama alivyosema mleta mada. Wao wanakula kila aina ya chakula nyani, nyoka, mbwa, popo, vyura nk. Kuna ugumu wa maisha wa kupindukia, bongo vyuma vimekaza huko vinakutu kabisa.
Congo unaweza fika sehemu ukadhani upo nchi nyingine kabisa, nchi yao kubwa sana ni vigumu serikali kuisimamia kwa urahisi hasa kwa mazingira yetu ya Africa.
Congo unaweza fika sehemu ukadhani upo nchi nyingine kabisa, nchi yao kubwa sana ni vigumu serikali kuisimamia kwa urahisi hasa kwa mazingira yetu ya Africa.