sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
mkuu hebu tutajie gharama za kufika huko kwa usafiri wa kawaida
Dah Mku mbona hujasema kama mlichukua SMG?
Ile ni machine kubwa mkuu, ningepita nayo vipi mpakani? maana ule mzingo kudakwa nao kesi yake si ya kitoto halafu vibali vyake sina, waende wakaichunguze wakute imetoka kwenye jeshi la congo, wana link na matukio mengine utaishia jela maisha kwa kitu kidogoDah Mku mbona hujasema kama mlichukua SMG?
Endelea kusubiri usalama, wakati kukiwa na vurumai ndiyo watu wanapiga helaHii ni fursa.... pangekuwa pazuri kiusalama na kiafya nigefikiri kwenda kufanya hii ishu
Najali utu zaidi kuliko pesaEndelea kusubiri usalama, wakati kukiwa na vurumai ndiyo watu wanapiga hela
Inategemea unaenda upande upoI!? Ni sawa sawa na Mkongo kuuliza kama wewe lakini hajui mkoa anaofikia.mkuu hebu tutajie gharama za kufika huko kwa usafiri wa kawaida
Unajua mkuu uchizi si lazima upige makelele barabarani unalijua hilo?mkuu hebu nisaidie kidogo kuhusu hili naomba ule nyani kwa niaba yangu pamoja na wale washa washa supu yake kisha uniambie ina ladha gani ili siku nikija nianze nayo.
nakutania tu mkuuUnajua mkuu uchizi si lazima upige makelele barabarani unalijua hilo?
Nadhani ungeenda kujiona na kuangalia namna gani unaweza wekezaHii ni fursa.... pangekuwa pazuri kiusalama na kiafya nigefikiri kwenda kufanya hii ishu
Unaweza usiupate ukimwi Kongo ukaja upata ukimwi KivuleMkuu ukiwaza sana ukimwi utakua hufurahii nchi, kula tu malipo baadae.
Nitazungumzia miji miwili ambayo ninafanya vibaruaKwa sifa hizi,
Nataka kwenda Congo.
Guys hebu tupeni maeneo mazuri ya kuvinjari kama mtu akienda kwa mapumziko, mji gani mzuri, hotel, nakadhalika maana hiyo Nchi sijawahi kuifatilia sababu ya vita.
Mkuu unawafunua sketi tu hukoPochi lazima uguse kidogo maana mtakula wapi?
Na pia lazima umtoe japo dola 5 ya kwenda kununulia sabauni sasa unataka umuache na makombo yake?
Pia kuhonga unaweza kuhonga sana maana ni kawaida kwa kila nchi.
Ila ukiwa mjanja unaweza kulipia guest tu.
Cha kufanya usikurupuke papo kwa papo akakupe mzigo hapo lazima ikitoke maana anajua umejipanga.
Ila jaribu kwa siku ya kwanza kuunga urafiki na kuchukua namba za sim, siku ya pili au ya tatu unaweza kula kiulaini kabisa.
Kuna mmoja aliniomba urafiki fb baada ya kujua nipo Goma ndo hivyo tena nimemwambia sina pesa ila anataka hivyo hivyo tuonane.
Jana nilionana nae ila hatkufanya chochote maana nilikua busy kutengeneza sim yangu.
Niliishia kuzunguka nae tu mjini.View attachment 748585
Uhandaaji tatizoMbona nasikia ug wana vyakula vizuri na vyakutosha
Helo yao inaitwa FRANC/FRANCSHela yao inaitwaje kwa jina?
Dollar 1 ya Kimarekani ni sawa na kiasi gani kwa pesa yao?