Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

Niliskia Congo mtoto Wa kwanza analiwa nyama[emoji85][emoji85]
 
Ya bobooso na sambee

Azalaki eyawaa

Sie batu za Congo ni bakarimu sana hapana nyima kitu....

Tunapeana vile vitu ipo hapana nyimana.

Sisi bako najua mapenzi.... najua kukea

Ukichanganya na vumbi hapana leta Matata.
Kasie nakumbuka vile upo central kwa kumgonga mkuu Wa polisi[emoji12]
 
Ndo nazidi kuzunguka nimuone mkuu.
Mkuu umesema ulikuwa Congo, sijaelewa Congo ipi ulienda, Brazaville au Kinshasa? Pia kumbuka Kama ni Congo Kinshasa ni kubwa mno sasa huwezi kusema eti uliona wanawake wazuri nikakubali KILA HISI HIVYO. Wapo wengine tumepakana nao mashariki ya nchi yao ni wafupi wafupi, wabembe hata huwezi kuwalinganisha na Mademu wa Tz.
 
Kka wewe unapiga ni Primus, Mitzing, Simba, au Amstel?

Chakula ni issue DRC uwe mwangalifu sana na mambo ya manyama nyama, utakula vitu vya ajabu sana jamaa hawaachi nyama ya aina yoyote ile
Hata nyauu?
 
Mkuu kongo kuna madili gani mengine ukiacha kupika chakula?
 
Mkuu umesema ulikuwa Congo, sijaelewa Congo ipi ulienda, Brazaville au Kinshasa? Pia kumbuka Kama ni Congo Kinshasa ni kubwa mno sasa huwezi kusema eti uliona wanawake wazuri nikakubali KILA HISI HIVYO. Wapo wengine tumepakana nao mashariki ya nchi yao ni wafupi wafupi, wabembe hata huwezi kuwalinganisha na Mademu wa Tz.
Soma vizuri mkuu usinihukumu sana, sijasema ni wazuri kushinda Tz em rudia kwa umakini.
 
Umesema ukweli mtupu..Maana Mie nimejionea hivyo vitu Pale mjini Uvira (mpakani mwa Bujumbura na Congo)..Yaani Ni shida Sana.
 
Nackia huko kuna vita, wanaishije sasa? VP milipuko huogopi? Natamani kwenda Kinshasa na Lubumbashi ila naogopa M23 na Banyamulenge. Nihakikishie kama wapo au LA? Pia niambie kama naweza pata ndege hapa bongo kwenda direct hiyo miji 2 tokea Dar
Nipo Lubumbashi mwezi wa nne sasa sijawahi sikia risasi ni mji mzuri
Maisha ni ghali ukilinganisha na Tanzania nadhani inachangiwa na matumizi ya $
Ndege ipo kama unatokea Dar, Unafanya connection Nairobi (kuna ndege KQ saa tano kwenda Lubumbashi kila siku) return ticket $ 980 Dar-Lubumbashi-Dar
 
Uandishi wako tu unamaanisha nilichokisema ...mkuu unabisha nini? Wakati juzi nilienda kwa fundi sim mmoja wakati naongea kuna kadada kamoja kakaanza kumwambia mwenzake kwa sauti ya chini "huyu anaongea kiswahili vizuri." Na mwengine pia nimefatana na mwenzangu ikawa tunaongea kuna sister mmoja nikaona kama kamedakia maongezi kiunaga ubaga halafu kakazuga, ila mimi nilimwelewa nikamwambia mwenzangu chukua dogo alishajileta mwenyewe, hapo ni baada ya kusikia tunaongea kiswahili.
Na kweli jamaa aliongea nae na dogo kama ganda la ndizi.
Kumbe wakati tunaongea alikuwa anafurahishwa na kiswahili sanifu.
Na wengine pia nilikua napenda kwenda madukani kuwachokonoa wakisikia kiswahili hata kama kuna wengine wana shughuli zao wanasikiliza kiswahili mpaka natamani niwagonge wote.
Na hapa ninapokwambia nilishwala watatu dada zako kisa kiswahili.
Na pia ukiwa haumini kama upo maeneo ya Goma njoo ushuhudie dada yako mwengine nnavoenda kummega kesho.
Au kama unataka ushahidi wa picha sema kesho nikutumie nikiwa nae. Usikatae kwa ushabiki kataa kwa hoja.
Kwa hiyo wewe kazi yako ni kula batu ba Congo?
 
Wana show off za kijinga wewe, anaweza kushangaa kwa nguvu akaweka mkono shavuni ili tu uone Pete yake ya almasi
Kila nikisona comment yako naikuta na LIKES si chini ya 5. Na mara nyingi nikilike nakuwa wa kuanzia wa 6 na kuendelea...
Hongera.
 
Back
Top Bottom