1. Nunua pikipiki ya dhamana ukaanza biashara ya boda boda.
2. Fungua saluni.
3. Mradi wa tofali za kuchoma.
3. Fuga kuku.
4. Somea ujuzi wowote.
5. Mradi wa kushona nguo.
6. kijiwe cha kuchomelea.
7. Kijiwe cha milango na madirisha ya aluminum.
8. Mgahawa mdogo.
9. Kijjwe cha kahawa.
10. Mashine ya kupukuchua mazao mfano mahindi, mpunga, mtama, karanga, n.k.
11. Mashine ya kukata nyasi, kupalilia.
12. Kuuza mbuzi, kuku.
13. Biashara ya mazao.
14. Kukodi bus, daladala na kuzisimamia upate cha juu.
15. Kutengeneza sabuni, sanitizer, handwash.
16. Kutengeneza unga wa lishe.
17. Kilimo cha umwagailiaji water pump, mbegu, madawa.
18. Jiko la supu.
19. Kutengeneza mkaa mbadala.
20. Kuuza chips.
21. Kukaanga kuku.
22. Kutengeneza vitafunio.
23. Kuzalisha ethanol.
24. Kufuga poko mbuzi katoliki.
25. Kufungua kilabu cha pombe za kienyeji.
26. Kufungua vijiwe vya kukusanya ubuyu maporini yakitimia magunia unaleta mjini.
27. Kuuza juice.
28. Kuuza juice ya miwa.
29. Kijiwe cha kukaanga samaki jioni.
30. Shughuli za upambaji kumbi.
31. Kusambaza bidhaa majumbani.
32. Kusambaza bidhaa basic needs kwenye maduka ya vijijini, yaani unanua mjini unasambaza kwa oda viduka vya vijijini.
33. Kuzunguka minadani kuuza nguo za mitumba, vyombo, nk.
34. Kufungua tuition center.
35. Kufungua grocery.
36. Kuwa wakala wa bidhaa za viwandani.
37. Kijiwe cha kukusanya taka za plastic, chuma, oil chafu na tairi chakavu.
38. Kufungua genge la kuuza basic home need.
39. Kufungua ofisi ya kupiga nguo pasi.
40. Ofisi ya kutengeneza viatu na mabegi.
41. Kutengeneza vyombo vya kupikia mfano, majiko, ndoo, sufuria, mifuniko, vikaangio, n.k.
42. Saluni ya kutengeneza kucha za wanawake.
43. Jengea vyumba vitatu wazazi wako, nyumba ya bati upate baraka.
44. Nunua shamba.
45. Nunua ng'ombe wadogo watano kwa laki na nusu anza ufugaji, au nunua mbuzi anza kufuga.
46. Fungua kijiwe cha kuonyesha mpira.
47. Duka la nguo za kupoint classic za mitumba piga pasi tundika kwenye enga.
48. Ofisi za baiskeli za kukodi hapo unapata baiskeli nane.
49. Duka la spea za pikipiki na baiskeli.
50. Duka la dawa na vipodozi.
51. Ofisi ya kuchaji simu kwa sola vijijini.
52. Ofisi ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa.
53. Bustani za kuzalisha miche ya miti na matunda.
54. Ufugaji nyuki na kuuza asali.
55. Kuzalisha unga wa muhogo.
56. Direct sale, yaani door to door delivery. Hapa unakuwa na torori na speaker unapita kila nyumba unauza bidhaa na kuchukua oda ya nini wanataka ili kesho uwaletee.
57. Utengenezaji pellets chakula cha mifugo, samaki.
58. Unga wa lishe.
59. Mikeka.
60. Bidhaa za mianzi.
61. Utengenezaji wine.
62. Usafi wa majumbani.
63. Kuuza uji wa ulezi, mchele
64. Utengenezaji mbolea za mboji na za maji.
65. Utengenezaji wa vigae vya cement na vya udongo.
66. Kupanda miti kwa ajili ya nguzo na mirunda.
67. Utengenezaji wa ndala.
68. Utengenezaji viatu.
69. Upondaji kokoto.
70. Ufundi simu na radio.
71. Utengenezaji mifagio.
72. Utengenezaji crips za mihogo, ndizi, viazi, nk.
73. Utengenezaji tambi, ubuyu.
74. Panda mlonge, nyonyo, mibono au muarobaini ili uje uuze mafuta au utengeneze sabuni.
75. Kutengeneza siagi ya karanga.
76. Home delivery, hapa ni kupita kila nyumba na kuchukua oda za mahitaji yao then unaenda kununua unawaletea.
77. Utengezaji wa vifungashio vya karatasi.
78. Utengenezaji mitungi, vyungu, majiko ya udongo.
79. Kuwatengeneza kucha wadada.