Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

Tupia kisa chako kilichokua kinakuudhi kipindi upo high school

Cha kwangu kilichokua kinaniudhi ni ile tabia ya baadhi ya wanafunzi maarufu kama wasongo kujua ratiba zote za shule kubwa kubwa mf Feza schools, Tabora boys , Tosamaganga, Minaki n.k

Tabia hiyo ilikua inaniudhi Sana ingawa nilikuwa vizuri kimasomo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
nilikuwa nakereka sana ile umechukua kikopo cha babycare kwenda kupiga penzi binafsi bafuni ukiamini hakuna mtu wote wapo madarasani mara linaamka doja kutoka bweni lingine linakuja kuswaki kwenye slabs za bafuni ilihali nje huko kuna slabs zingine lingeweweza kuswaki
 
hiyo story haikumfikia mjela jela.....................vipi hujawahi kukutana na visanga vya mzee msengi??
Mara kibao mkuu, Kuna day alikua anagawa ugari bana sasa kakawa kanawambia watu nyoosheni mstar alikua anapenda haki Sana akikuta mtu kasimama nje ya mstar kanamchapa na kutokumpa chakula.

Aisee nilikua nimepanga mstar nashangaa zangu uwanjani kumbe mstari umehamia upande mwingine kaliniponiona kaliruka na mm Kofi moja kidogo niiunike nako sema nkasema hapa ntakosa shule

hahahahaha lile life acha......................naskia miaka ya hivi karibuni sokoine ndio wamekua wahuni wa shule,Rugambwa cha mtoto
 
hahahahaha lile life acha......................naskia miaka ya hivi karibuni sokoine ndio wamekua wahuni wa shule,Rugambwa cha mtoto
Sanaa pale wahuni wengi sokoine maana si wako mbali na shule na barabaran

Mkuu walishawahi kukukimbiza ZAINA ZAINA kipindi unaripot fom 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilikuwa karibu na viongozi......ila madogo wa form 5 mwaka uliofuata niliwakimbiza
Dah we mkuu ulifanya sio poa, mm nilikimbizwa nililaani saaaana icho kitendo Mana nikifika day 1 usiku wake jamaa wakatuamsha tuende kufanya mazoezi bana kumbe ZAINA ZAINA tulikimbia toka sa Saba usiku mpaka sa 11 asubuh.

Iyo siku form 5 wote walitaka kukimbia shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigoma secondary! Utaratibu wa manual work na ambush ya vyombo vya kulia, ndoo, kijiko, kikombe sahani na bakuli na usafi kiujumla, sikuwa na chombo hata kimoja, nakula kwenye mfuniko wa ndoo, navizia kikombe naweka maharage, tuliwahi kuchezea siku ya ambush, kitanda mashuka nilikaa term nzima bila kufua, mashuka ya sky blue. Hahaha
 
Viranja wa msosi kujiona miungu watu..Kingine walimu kusimamia effectively swala la kilimo na ufyekaji nyasi kuliko masomo...Nyakato high school (Bukoba)
 
nilikuwa nakereka sana ile umechukua kikopo cha babycare kwenda kupiga penzi binafsi bafuni ukiamini hakuna mtu wote wapo madarasani mara linaamka doja kutoka bweni lingine linakuja kuswaki kwenye slabs za bafuni ilihali nje huko kuna slabs zingine lingeweweza kuswaki
Hii tabia siipendi hat kidogo, yaan nlivokuwa advance kuna sku nkaingia bafun wallah kunanuka shahawa tyuuh, ile ntembee hivi lol nkala msala kuteleza yaan had leo sitak hat kuskia hii kitu.
 
Nilikuwa siwapendi wasichana wanaotaka mageti marefu mpaka karibia yaburuze chini
 
SCOUT hawa wasenge hawafai,nmesumbuana nao sana,wanajionaga wanajeshi
 
Back
Top Bottom