Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

Daah kuna ile pilau day pale karatu , asee ukichelewa imekula kwako na hata ukiwahi kuna mchinjo wa maana unaweza rusha ngumi 😂
 
NJOSS ukiwa form five ni kufanya manual works kwa kwenda mbele plus baridi,nilitaka kuhama baharia!!
 
Sitaisahau IHUNGO yani ukibanwa haja unawaza mara mbili vyoo haviingiliki watu wanachambia magodoro unakuta hadi vikombe dah yani sio poa vyoo vimejaa balaa. Godoro lako kama halina cover watu wataligeuza toilet paper kila anaetaka kwenda toi ananyofoa.

Kuoga sasa yani bafuni kunateleza balaa ukiingia kua makini😁😁 kanyanga katikati pale bomba la shower linapomwaga maji ndo hapatelezi ukicheza kidogo unavunja mgongo watu wanapiga nyeto balaa😁 basi panateleza kinoma.

Ukiwa unaoga ukiweka sabuni juu ya mlango watu wanapita nayo dah. Nimeimiss IKEME na madem zetu wa lugambwa tulikua tunameet mto promise😁😁
 
Sangu high school mbeya -2010 - 2012

Utaratibu ule wa viboko sikuupenda,

Ukichelewa viboko getini
Usipohesabu namba viboko
Kama uliruka zamu ya usafi viboko
Usipofanya homework viboko
Darasa likiwa na kelele viboko
Ukifeli mtihani viboko
Ukivaa suruali haina marinda viboko
Mwalimu akihisi umemcheka viboko


Yani mboko hadi zinakera, nakumbuka kuna Mwalimu aliitwa mwalyambi a.k.a Rooney alifika hapo na akaingizwa idara ya displini ndani ya miezi miwili tu.....dozi aliyokua anagawa si ya kitoto.

Ila nachofurahia ile shule ulikuwa na watu wengi aisee, shule nliyotoka darasani tupo 25, shule imejitenga sana na nlikuwa na rafiki wawili tu, dah nmefika sangu darasani tupo 150 shule yupo elf 2 huko, aisee nli enjoy sana kampani ya marafiki wengi, nlitoka na 2 yangu ya kuchechemea.
 
Tupia kisa chako kilichokua kinakuudhi kipindi upo high school

Cha kwangu kilichokua kinaniudhi Ni ile tabia ya baadhi ya wanafunzi maarufu Kama wasongo kujua ratiba zote za shule kubwa kubwa mf feza schools, tabora boys , tosamaganga, minaki n.k

Tabia hiyo ilikua inaniudhi Sana ingawa nilikuwa vizuri kimasomo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Songea boys enzi hizo tumechunga ng'ombe sana yaani ,,maarufu kama Bull , ni mkubwa afu msumbufu aisee......afu chooni full wadudu weupe yani unakanyaga kwa kuruka ruka utafkiri unadunda
 
Nakumbuka kipindi nasoma high school shule moja maarufu Sana tabora tulimiliki simu karibia wanafunzi wote wa darasani kwangu, miaka iyo form 5 nilifanikiwa kupata pisi Kali ya chuo furani pale tbr..

ikawa inakuja kunitembelea kila day na nilikuwa najitapa Sana kumiliki chombo Kali wajuba wa class wakawa Wana nisoma tu daily kumbe Wana mindi chini kwa chini.

Tulianzisha discussion za usiku kuhusu kujipanga na pepaz za nencta.Muda huo siku zote nilikua naongea na simu na kuchat na pisi yangu daily.

Siku na siku wadau walichoka, wakaniundia mpango mkakati wa kunikomesha... Ile nimemaliza kuongea na pisi yangu dk zikaniishia bana narudi class wazee wakanichek kwa simu yangu.

"Mambo baby mbona umekata simu", dah aisee nikajua ni yeyeeee pisi yangu iyo nawaza kumbe washenzi wale class mates wangu wananichezea mchezo mchafu.

Aisee tulichat almost masaa 2 na huyo jamaa aliye act demu wangu mpaka nikajikuta nasahau na kusoma, nashangaa jamaa zangu wanacheka Sana huku wakiambiana kwa utani text nazomtumia.

Nakuja kuelewa ujinga wanaoufanya too late jamaa walipanda mbele kuandika ubaoni upumbavu wote niliochat haikutosha Waka aanza tuma kwenye group la WhatsApp la darasani.

Niliiaibika mtu mzima, hamu ya msuli ikafa nikaenda kulala class sikwenda week nzima!

Lile darasa hapana aisee,popote mlipo respect kwenu nalikumbuka la washenzi Sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna shenzy moja iv, likirudi tu kutoka class shati kule, singland kule, suruali kule, kaptula kulee, hapo ni mwendo wa kichupi mpaka kulala na mikele juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Songea boys enzi hizo tumechunga ng'ombe sana yaani ,,maarufu kama Bull , ni mkubwa afu msumbufu aisee......afu chooni full wadudu weupe yani unakanyaga kwa kuruka ruka utafkiri unadunda
Ukienda chooni inabidi uvue nguo. La sivyo ukitoka mwili wote unanuka mithili ya Choo.

Sent using dole gumba
 
Kuna albino moja wa CBG alikuwa anavuta bangi hatari halafu fujo nyingi,kila Toleo ya simu ya Motorola anayo,tangu afike hadi amalize shule hajawahi kununua uniform ,anavaa yoyote atakayokuta kwenye kamba za kuanikia nguo
Nimecheka mnooo khaaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom