cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,131
Tupia kisa chako kilichokua kinakuudhi kipindi upo high school
Cha kwangu kilichokua kinaniudhi Ni ile tabia ya baadhi ya wanafunzi maarufu Kama wasongo kujua ratiba zote za shule kubwa kubwa mf feza schools, tabora boys , tosamaganga, minaki n.k
Tabia hiyo ilikua inaniudhi Sana ingawa nilikuwa vizuri kimasomo pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilikuwa nafua jumamosi asubuhi baada ya pora naenda zangu kufulia pond,ukifika muda wa wali nguo zishakauka napandisha zangu kupiga kipunga,baada ya kipunga ni kudrop hapo tuonane j'tatu asubuhi parade😀😀Tabia ya kuanuliana mashati pale PUGU ukifua linda shati au nguo zako jifanye mwehu uziache jumatatu utavaa shati la kuazima form one.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lahaula et vyoo vichafu mnaviita Ihungo. Mlikua mnatuchukulia wachafu sanaKisa kingine kilinigusa nikiwa O level this time pale Rugambwa secondary ni kuchota maji kwenye kijito kipo kwenye mawe.Sasa hapo mkiwa zamu ya kuchota maji ya jikoni. Kaka Hansi kule jikoni anasema maji bado ongezeni tena...


Mzeeh wa rpm silivesterIhungo mastery for rpm..Form 5 yote mtatumia kufweka na kufanya usafi wa mazingira

Mimi nilikuwa na mabifu na walimu kisa nilkuwa na dem mkali shule nzima wanamtolea macho. Walimu waliokuwa wanamtaka walinichukia kiasi kuwa nikipita tu hata mbele ya office wanafungua file langu nakuanza kujadili.
Nakumbuka ilifikia hatua classmates wangu wakitaka kudodge clac, wahakikishe kwanza kama mimi sija dodge. Maana nilikuwa nikidodge tu lazima nitaftwe. Na wakinikosa wanamtafta GF wangu. Wakimkosa wanajua tupo wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaisahau IHUNGO yani ukibanwa haja unawaza mara mbili vyoo haviingiliki watu wanachambia magodoro unakuta hadi vikombe dah yani sio poa vyoo vimejaa balaa...
Naelewa saana mkuu, nimechunga sana na kulima bustani.From Galanosi Tanga, zamu za kuchunga ng'ombe zilikuwa zinaniboa sana..
Waliopita pale kupiga CBA wanaelewa hili
hii kama sio kwa WALAMBO paleeNakumbuka kipindi nasoma high school shule moja maarufu Sana tabora tulimiliki simu karibia wanafunzi wote wa darasani kwangu, miaka iyo form 5 nilifanikiwa kupata pisi Kali ya chuo furani pale tbr...
Vipo upande ilipo shule ya ihungo.Lahaula et vyoo vichafu mnaviita ihungo
Mlikua mnatuchukulia wachafu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh kumbeVipo upande ilipo shule ya ihungo.
Hahaha ule wali wa pugu eti unkaa unaupigia mahesabu maisha hayaMi nilikuwa nafua jumamosi asubuhi baada ya pora naenda zangu kufulia pond,ukifika muda wa wali nguo zishakauka napandisha zangu kupiga kipunga,baada ya kipunga ni kudrop hapo tuonane j'tatu asubuhi parade![]()
acha kabisa,kwenye maisha tunapitia mengi
hii ilisumbua sana mwaka 2018/19 mwl silivester alifanya ndo project kubwaIhungo mastery for rpm..Form 5 yote mtatumia kufweka na kufanya usafi wa mazingira