Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,733
- 4,050
Ilikuaje mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]Nilitaka kumnyandua mama mkwe!!
Ilikuaje mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]Nilitaka kumnyandua mama mkwe!!
Mkuu asante, najitahidi na umri nao unaenda. Leo nina muda nitaleta hata mikasa mingine miwili.Mkuu pambana uache asee,zimekutesa Sana
Hahaha.. Baada ya kuona comment akiambiwa hivyo, ikabidi niwe makini nae tuHahah daah we jamaa ni hatari,naona umefuatilia post zake ipasavyo.
Hahaha naona we mwenyewe hapo ulipigwa swali fasta tu.Hahaha.. Baada ya kuona comment akiambiwa hivyo, ikabidi niwe makini nae tu
vipi wewe pombe haikusumbui
Hahaha!! Nilicheka sana, huyu jamaa anafurahishaHahaha naona we mwenyewe hapo ulipigwa swali fasta tu.
Hahah ngoja niendelee ku-observe,nitaleta feedback.Hahaha!! Nilicheka sana, huyu jamaa anafurahisha
tuKuna siku nilienda na 30k viwanja, ( yaan kula na kunywa chupa ya wine moja)
Baada ya ile wine kuisha, nilisaka ATM mpaka nikaipata nikachomoa laki, nikawanunulia mashost wine na Mimi mwenyewe
Asee kesho yake nilijuuuta balaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]
Fafanua kidogo yesu anakuwaje kiboko kwa pombe?Kiboko ya pombe--na dhambi yoyote nyingine--ni kumpokea YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fafanua kidogo yesu anakuwaje kiboko kwa pombe?
umeokoka?Kiboko ya pombe--na dhambi yoyote nyingine--ni kumpokea YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gambe inanipa fedhea Sana mtaani ..yani nikilewa nakua na furaha Sana mixer kurap ,kuongea Sana ,kesho yake balaaa hangover , uzuni moyoni, najiona mkosaji Sana , nikipishana na mtu tu akanisalimia kwa kunichangamkia najua tayari hapo anakupunga chenga zaku za ulevi
Kuna dhambi kubwa kama kuwa mfuasi wa chanzo cha matatizo!?Kiboko ya pombe--na dhambi yoyote nyingine--ni kumpokea YESU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
Na bora mtoto anavokataa umuendeshe wew sio kabsaMiaka kadhaa iliyopita Jumapili moja wife aliniomba nikamletee mahitaji kama kilomita 3 hivi, nikamchukua last born wangu tukaenda, tumetoka sokoni wadau wananiita nikamuacha mtoto kwa gari zaidi ya nusu saa napiga konyagi, mvua ikaanza kunyesha ikabidi tuondoke tayari niko maji mbaya. mtoto kuona spidi kubwa akaamia siti ya katikati na ndio ikawa pona yake. Niliingia nyuma ya roli la mchanga nikazindukia hospitali na mtoto akapona, sijawahi tena kuendesha gari na mtoto mwenyewe hawezi kubali nimuendeshe
Hebu tuoneHaha nikuoneshee wapi? Kishapungua sasa maana sikukipa nafasi kikue zaidi. Mi ni mtu wa mazoezi, I cut it to a flat belly naenjoy wine tu
Haha nilijua utakuja tu😊Hebu tuone
Ha haa du ze nidfull sasa lolHaha nilijua utakuja tu[emoji4]
Kwako sisemi kitu. Next month nikija pande hizo utathibitisha mwenyeweHa haa du ze nidfull sasa lol
Woke woke, wacha niwait kujionea yaliyomo yamoKwako sisemi kitu. Next month nikija pande hizo utathibitisha mwenyewe
Leo umefufukia wapi?Woke woke, wacha niwait kujionea yaliyomo yamo