Jamaa unaonekana pombe imekufanyia mambo mazito mnoImenipotezea ajira 2 za nguvu.
Mkuu nina visa lukuki, basi tu nakosa muda wa kuviweka humu. Kulala nje kwenye veranda ya nyumba, kulala kwenye gari barabarani, na kupoteza mwelekeo mara kibao.Jamaa unaonekana pombe imekufanyia mambo mazito mno
Mkuu nilikuwa polini nimechelewa kukujibu, sababu ilikuwa ni ulabu tu. Unakuta nimeutwika na nina gari ya ofisi naishia kupaki barabarani nasinzia hadi askari wanakuja.Ilikuaje
[emoji23][emoji23]Mkuu nina visa lukuki, basi tu nakosa muda wa kuviweka humu. Kulala nje kwenye veranda ya nyumba, kulala kwenye gari barabarani, na kupoteza mwelekeo mara kibao. Ila kuna hii moja ilinitokea tena ughaibuni siku ya Jumamosi nimeenda open market kununua vitu second hand kwa ajili ya familia, napita sehemu naona pamezungushiwa na mahema kibao. Nafika mlangoni nulizwa ticket na mimi nikauliza kuna nini? Muhusika ananiambia ni siku ya bia na ukikata tiketi unakunywa tani yako. Safari ya open market ikaishia hapo nilikunywa bia za zaidi ya aina tatu hadi nikakaa chini kupata network. Nyumbani nilifika salama salama kwani hawakuwa na pombe kali
Miaka kadhaa iliyopita Jumapili moja wife aliniomba nikamletee mahitaji kama kilomita 3 hivi, nikamchukua last born wangu tukaenda, tumetoka sokoni wadau wananiita nikamuacha mtoto kwa gari zaidi ya nusu saa napiga konyagi, mvua ikaanza kunyesha ikabidi tuondoke tayari niko maji mbaya. mtoto kuona spidi kubwa akaamia siti ya katikati na ndio ikawa pona yake.[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana mkuu. Mbavu sina kabisa.Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi,
Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto.
Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi.
Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi.
Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu.
Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
Hahah aliekudanganya naniAchana na pombe mkuu. Walevi hawafiki mbinguni
[emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona ulivyokuwa umajaribu ku-retrive mafaili ya audio za mtongozo kwa msma wa watu.Baada ya kuutwika kwenye sherehe ya kazini nilimtongoza mama mmoja mwenye cheo chake, nae akawa anacheka tu. Mimi ndio nazidi kumpa maneno mbele ya watu. Party iliisha kila mtu akaenda zake. Jumaatatu yule mama akaniita na kuniambia Ni mwambie yale maneno niliyo muambia siku ya party halafu alikua serious.
Hakuosha mbeta kwa muda mrefu.Nikiwa pale Mwakavuta Secondary tulikunywa ulanzi , getoni tulikuwa watatu tulijiharishia balsa, ule ulanzi sijui yule Mzee alichanganya na nn
KaliMkuu nilikuwa polini nimechelewa kukujibu, sababu ilikuwa ni ulabu tu. Unakuta nimeutwika na nina gari ya ofisi naishia kupaki barabarani nasinzia hadi askari wanakuja.
Vp gari lilipona kweli? Na gharama za kulitibu ilikuwaje?Miaka kadhaa iliyopita Jumapili moja wife aliniomba nikamletee mahitaji kama kilomita 3 hivi, nikamchukua last born wangu tukaenda, tumetoka sokoni wadau wananiita nikamuacha mtoto kwa gari zaidi ya nusu saa napiga konyagi, mvua ikaanza kunyesha ikabidi tuondoke tayari niko maji mbaya. mtoto kuona spidi kubwa akaamia siti ya katikati na ndio ikawa pona yake. Niliingia nyuma ya roli la mchanga nikazindukia hospitali na mtoto akapona, sijawahi tena kuendesha gari na mtoto mwenyewe hawezi kubali nimuendeshe
vipi umeweza kumaintain??[emoji3][emoji3][emoji3]na mimi niliwahi kufanikiwa kuacha kwa miaka michache, nilivyorudi ndo hali ikawa tete kwelikweli, najitahidi kukaa nayo mbali kuanzia juzi.
hivi ugoro unavutwa?Mimi wala pombe sina memory nayo maishani ila UGORO jamani,sijui mimi nani aligundua UGORO.
nili test ONCE ila kumbukumbuku ninayo mpaka na kesho kutwa,watumiaji Ugoro heshima yenu wakuu.
mzee hii sasa too much.kama vipi nunua hata konyagi na kreti za bia uwe unanywea nyumbaniMiaka kadhaa iliyopita Jumapili moja wife aliniomba nikamletee mahitaji kama kilomita 3 hivi, nikamchukua last born wangu tukaenda, tumetoka sokoni wadau wananiita nikamuacha mtoto kwa gari zaidi ya nusu saa napiga konyagi, mvua ikaanza kunyesha ikabidi tuondoke tayari niko maji mbaya. mtoto kuona spidi kubwa akaamia siti ya katikati na ndio ikawa pona yake. Niliingia nyuma ya roli la mchanga nikazindukia hospitali na mtoto akapona, sijawahi tena kuendesha gari na mtoto mwenyewe hawezi kubali nimuendeshe
ikawaje?Nilitaka kumnyandua mama mkwe!!
nini sababu ya kuwaua?Hii ilifanya watu wasisafiri usiku. Jamaa alipita kama anawasaidia, akawaua. Fundi alikuwa uvunguni mwa gari na ndiye aliyeelezea kisa chote maana kwa bahati yeye hakuonekana.
Hakuwa na sababu ya kufanya hivo. Aliua just for fun, ila kabla ya huyo kuna mwenzie alikuwa akiua kwa mtindo huohuo na ndiye former wa jina KENONKE likiwa na maana ya hiki ni nini kwa kiswahili. Huyo wa kwanza yeye alikuwa akipenda kutembea usiku na bastola. Ukikutana naye mnaweza kutembea hatua kadhaa huku mnapiga story kama ilivyokawaida vijijini. Ghafla atatoa bastola na kukuuliza KENONKE na hapo unatuma salamu zako kwa marehemu wote.nini sababu ya kuwaua?
Nimeshindwa yaani nisharudi hata wiki sikumaliza, wacha niendelee tu hakuna namna.vipi umeweza kumaintain??[emoji3][emoji3][emoji3]